Green Guard wa CCM wavunja kamera ya Mwanafunzi Makumira Univer kwenye Mkutamo Makumi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Green Guard wa CCM wavunja kamera ya Mwanafunzi Makumira Univer kwenye Mkutamo Makumi

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by yplus, Mar 30, 2012.

 1. y

  yplus Senior Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku ya jana CCM waliendesha mkutano kumnadi Sioi Sumari eneo la makumira Chuo kikuu.Wanafunzi walikuwa wengi wakiwasikiliza sera zao zilizojaa matusi.walitaka kushuhudia yale yaliyo rushwa kwenye mitandao mbalimbali.
  Mwanafunzi mmoja wa Mwaka wa tatu ualimu aitwaje James,alikuwa akipiga picha kama tulivyo zoea kwenye mikutano mingine,ghafla wakatokea vijana wa Green Guard na kuanza kumpiga marungu ya miguu,kupokonya kamera na wakaivunja.Mwanafunzi huyo alipelekwa kwenye gari la polisi na baadae polisi wakamachia.
  Kabla hilo halijaisha,walikamatwa wanafunzi wengine walio onekana kuongea ongea mkutanoni kama Bw Samweli,Otto na kijana mwingie aitwaye Isdori Maiko naye alipokonywa kamera na kupakiwa kwenye Pira la polisi,picha zikafomatiwa zote na baada ya mkutano kuisha akachukuliwa hadi barabara kuu ya moshi Arusha na kuachiwa.
  Huu ndio baadhi ya unyanyasaji tunalia nao na tunao fanyiwa na Serikali ya CCM
  Nawasilisha.
   
 2. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  hivi hii serikali inatupeleka wapi??? hali kama hii inatulazimu kufanya Mapinduzi ya hali ya juu
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wanaogopa kilichomkuta Lusinde hawakutegemea uchafu wake ungeanikwa hadharani vile maana waandishi uchwara walishashindwa kuripoti ila watu wenye mioyo mitakatifu katika siasa wakaanika uozo ule hivyo kila mtu mwenye camera haamini tena na wanagreen guard.

  Ona sera za CCM!!!!!!!!!
  Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
  Pigaaaaaaaaaaaa
  Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
  Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
  Kijaniiiiiiiii.
  Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
  CCM Oyeeeeeeeee.
  Oyeeeeeeeeee.
   
 4. d

  dada jane JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yana mwisho hayo alijisemea Rashidi.
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Natoa pole kwa wote waliofanyiwa fujo na polisi wa ccm. Amini usiamini, hizi ni fujo za mfamaji, na siku zao ziko ukingoni. Watawatisha watu kwa magwanda yao, lakini hawatagusa kilichoota moyoni. UKOMBOZI una gharama zake, na hii ni mojawapo.
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,078
  Likes Received: 10,437
  Trophy Points: 280
  Nawapa pole wanafunzi hao wa Makumira.
   
 7. z

  zedlyn JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  jaman hata km ni cdm aliepost but smtymz tuwe wakwel kidogo mi nilikuwepo jana kwenye kampen huyo kijana hajapigwa wala hakuna wengne waliokamatwa zaidi yake na hakuvunjiwa kamera na hakuwa na camera alikua anapiga picha na cm yake na alikua pemben yangu, aliachiwa baada ya kampen kufungwa
   
 8. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Freedom is coming tomorrow......
   
 9. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,482
  Likes Received: 5,557
  Trophy Points: 280
  Siku hizi ukionekana upo bize na simu kwenye tukio wanadhani una post JF!
   
 10. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Haaaa !!!! Magamba bana..... wangekua na uwezo pia wangekamata wote walio na smart phone ili kunusuru news kurushwa kwenye mitandao ya kijamii live.... poleni ccm!!!!!!!!
   
 11. y

  yplus Senior Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani kama kuna wanafiki,wewe ni namba moja.Nenda pale kwa Mosha kaangalie kamera ya Amani aliyokuwa nayo James imefanyweje,kama hujui uliza na muulize james pamoja na fredy walifanywa nini,watu wamepigwa virungu pale,acha kupotosha umma tunapo walisisha mambo ya ukweli.
   
 12. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu wewe ndio OTTO? kama niwewe jana ulituboa umebandika matangazo makamanda watakuja kuongea na wanachuo halafu hawakufika nawewe wala hukutokea kutoa taarifa kama wameahirisha mpaka tukaanza kukutafuta!
   
 13. z

  zedlyn JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mimi cyo mnafki naongea nilichokiona huyo kijana alikamatwa nikimuona na alikua pemben yangu na hadi alipokuwa na f.f.u wakimu advice angesogea pemben kidogo nilikuwepo na alikamatwa sioi alipopanda jukwaan so usidanganye watu ongea ukweli yplus
   
 14. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Green guard a.k.a mungiki wanasumbua sana wananchi wasioiunga mkono ccm lakini siku moja watajutia ujinga wao.
   
 15. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Kwa hiyo unakiri alikamatwa, kama na wewe ni mwanafunzi be logical, kitendo cha kumkamata mtu na kumwachia ni uvunjifu wa haki za binadamu. Waliomkamata dhahiri walitenda makosa yasiyoweza kufungua mashtaka, au walikuwa wanashabikia CCM.
   
 16. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  CCM ni kama kibogoyo anayedhani ana uwezo wa kung'ata mifupa.
   
 17. y

  yplus Senior Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCMism kweli inawala wengi.
   
 18. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kwani kupiga picha kwnye mikutano ya Magamba ni marufuku au alikuwa anapga picha sikio la yule shoga wenu mkaona itakuwa tabu......
   
 19. s

  sirghanam JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa akili za kina lusinde unategemea nini
   
Loading...