meru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

meru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Harson, Mar 31, 2012.

 1. Harson

  Harson New Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za kuaminika ccm imekusudia kuvuruga uchaguzi arumeru
   
 2. R-CHUGA

  R-CHUGA Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni kweli kabisa hata mimi nimezipata hizo habari.Wamesema hata wakipata kura moja ushindi ni lazima.Tumuombe tu Mungu aweke mkono wake.
   
 3. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  hivyo ni vitisho tu!
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kivipi wajameni toeni ufafanuzi badala ya kuweka skeleton tu.
   
 5. M

  MCHUMA MBOGA Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana una hoja, lakini inawezekana ni pumba tu na kunajaribu kuleta tetesi au majungu na hapa si mahala pake. Sasa basi ni wajibu wako kutueleza ni sababu gani zimekufanya uamini hivyo, ni mbinu gani zitakazotumika, wahusika ni kina nani, unashauri nini kifanyike ili kuzuia kadhia hiyo nk nk nk

  Habari hizo zitasaidia kuzuia uovu huo na hatimaye haki kutendeka Arumeru Mashariki.
   
 6. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hakuna nguvu ya dola iliyowahi kuishinda nguvu ya umma mahali popote hapa duniani. Tutapambana nao hadi tone la mwisho la damu.
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mbona habari za vurugu ni kila upande. Mtoa uzi anasema CCM imejiandaa kufanya vurugu nami nimesikia wafuasi wa CCM wakisema CDM wamejiandaa kufanya vurugu pindi mgombea wao akishindwa. Kwamba wataifanya Meru isitawalike. Yote hayo ni tetesi hakuna kilichothibitishwa. Ila kama wahenga walivyosema lisemwalo lipo kama halipo laja; basi ni wajibu wa vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha kuna ulinzi na usalama wakutosha ili Arumeru isije kuingia katika historia ya vurugu za baada ya uchaguzi - PEV isj
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Hata wavuruge namna gani wameshakufa na kuzikwa.
   
 9. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nani hao CCM au CDM
   
 10. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,182
  Likes Received: 10,531
  Trophy Points: 280
  hatawavuruge kivipi ccm tayari ilishazikwa Arumeru kesho tunakwenda kuwatupia udongo.
   
 11. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  warafi ccm wana wabunge wote lakini wanang'ang'ania kiti kimoja kama majita
   
Loading...