Mwakiluma
Senior Member
- Jan 23, 2012
- 120
- 47
...Kutokana na sheria za tume ya uchaguzi Siyoi Sumari hana uhalali wa kupiga kura tar. 1/4....sheria inataka mtu apige kura mahali pale alipojiandikisha wakati wa kuandikisha wapiga kura kwenye daftari la kudumu la wapiga kura..
Wakati wa kuandisha wapiga kura Siyoi Sumari hakuwepo arumeru mashariki hivyo haruhusiwi kupiga kura mara itakapofika tar. 1/4...huyu sasa ni mgombea wa pili kutoka ccm ambaye hatajipigia kura katika uchaguzi ambao yeye mwenyewe ni mgombea...wa kwanza alikuwa ni Rais wa Zanzibar Mh. Dk. Mohamed Shein...huyu naye hakujipigia kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 ambao yeye mwenyewe alikuwa mgombea wa urahisi...yeye wakati wa kujiandikisha alijiandikishia oysterbay Dar es salaam swala ambalo lilizusha maswali mengi kwamba alikuwa hajui kama angegombea nafasi hiyo kubwa katika siasa....Kitendo cha Sumari kutojipigia kura mwenyewe kunaonyesha jinsi gani ambavyo hatakiwi kupigiwa kura maana hata yeye mwenyewe hatajipigia....