Watanzania tunataka Raha: CHADEMA tupeni raha arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tunataka Raha: CHADEMA tupeni raha arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by UTANIPENDA, Mar 31, 2012.

 1. U

  UTANIPENDA Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumegubikwa na habari mbaya kwa muda mrefu.
  Habari mbaya za mfululizo kwa watanzania kwa kipindi cha miaka miwili toka uchaguzi wa oktoba 2010
  1. Msiba mkubwa baada ya ccm kutangazwa na tume kuwa JK ameshinda heals
  2. Mauaji ya maandamano ya arusha
  3. Laana ya Richmond na dowans
  4. Meli ya mv spice islanders imezama
  5. Nchi ipo gizani kweusi
  6. Ccm wipinga mapendekezo ya chadema kuhusu katiba
  7. Bei za mafuta ya petro na dizel zapanda na kushuku, mafuta yaadimika
  8. Bei ya sukari, na chakula yapanda, maisha magumu mlo mmoja kwa Siku
  9. Dr mwakyembe amepewa sumu.
  10. Mbunge wa chadema Regia mtema amefariki. Ccm amefariki sumari
  11. mafuriko dam wakazi wengi wapoteza maisha
  12. Mlipuko wa mabomu gongo la mboto

  Na Mengine mengi.
  LAkini sass tunataka habari njema ya kufurahi na kweli chadema wakishinda tutasahau shida zetu. Chadema lazima mshinde ili furaha yetu tujikumbushie Siku ya uhuru wa tanganyika
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,198
  Likes Received: 10,540
  Trophy Points: 280
  sidhani kama kifo cha huyo mwanachichiem kiliuzunisha kiivyo.... Kamanda Regia alitugusa mitima yetu ww..
   
 3. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Noted. Excellent vission.
   
Loading...