Katika hali ya kutatanisha TBC1 warusha mkutano wa CHADEMA badala ya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katika hali ya kutatanisha TBC1 warusha mkutano wa CHADEMA badala ya CCM

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by KOMBAJR, Mar 31, 2012.

 1. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Pamoja na Roho mbaya na biase ya TBC kwa CDM leo imewatia aibu pale walipokuwa wanataka kuonyesha mkutano wa leo wakati BWM anaongea lakini kilichotokea badala ya kuonyesha mkutano wa ccm matokeo yake akaonyesha Nassari anahutubia.ameona aibu mbaya
  Mwisho wa ubaya aibu.mkutano wa magamba umekosa coverage TBC kitu ambacho akijawahi kutokea.
  Source.TBC news mtangazaji amina mollel

  Angalie Video uone mwenyewe


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  imekula kwao!
   
 3. P

  Papaya Senior Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Malipo ni hapa hapa. Kamanda Nassari katokea kiulainiii akitoa sera zake. Magamba mwisho u karibu. CDM tulianza na Mungu na tunamaliza na Mungu
   
 4. m

  manyani Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu.....sio kwamba wamependa ila kilichotokea ni kwa mkono wa aliyezaidi ya wao... wenye akili wanatambua kuwa huu ndio mwisho waooo... Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees!
  :lock1:
   
 5. m

  manyani Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I like this!
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Hakika magamba wako pabovu!
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Aangalie wasije wakamtimua kazi hahahahaha
   
 8. m

  manyani Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wamtimue tuu ajiunge na M4C... maana huko aliko hakuna maana tena....., nimeshangaaa sana pia... kuona Kijana Nassari anamwaga sera tofauti na walivyotarajia magamba
   
 9. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  aiseeeeeeeee Mungu mkubwa always.
   
 10. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Thanx God
   
 11. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Wasi wasi wangu ni kwamba huyo fundi mitambo wa leo kibarua kitaota nyasi.
   
 12. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha haaa kweli, mungu yu upande wetu!
   
 13. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  leo nimefurahishwa kwa mara ya kwanza na kosa la kihabari lililofanywa na televisheni ya chama (yaani TBC)
  habari yenyewe ilikuwa inahusu taarifa ya Arumeru Mashariki, kama kawaida wakasema kampeni zimefungwa jioni na nini,
  sasa wakasema ooh, raisi msaafu BWM amefunga kampeni na mgombea wa ccm amezungumza...tujiunge na mwandishi wetu! mara badala ya kutoa BMW na CCM, wakatoa mkutano wa chadema joshua nassari akamwaga sera, mara wakaikata, ooh samahani habari iliyokusudiwa imekuwa na tatizo...duh
  kumbe hawa jamaa huwa wanakuwepo kwenye mikutano ya chadema sema hawataki kutoa habari zao..au wanazikata makusudi
   
 14. P

  Papaya Senior Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Magamba wameitaarifu tbc1 waweke kipindi maalum saa tatu kamili kuonyesha hitimisho la kampeni zao. Hata wasipoonyesha kampeni za CDM haijalishi kwani kamanda Nasari walimpa coverage wakati muafaka.Tulianza na Mungu na tunamaliza Na Mungu vilevile
   
 15. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wellsaid mkuu!Nahisi wakubwa wamewakoromea TBC katika kutakurekebisha makosa yao wamesema saa tatu usiku wataonyesha mikutano ya kufungia kampeni. Amina mollel amekosa raha na amani kabisa
  Stay tune tuone wachakachuaji plus
  Mytake:wamesha edit picha ili ionyeshe mikutano waliyokuwa na audiance kubwa
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  ni kawaida yao.
  Ni wachemkaji hadi inashangaza, hivi hakuna msimamizi wa vipindi?

  Nimeiona hiyo habari nikacheka tu.
   
 17. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Atajuta kufanya kazi TV ya magamba ila karibu tunaizika soon
   
 18. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwa ufupi nilikuwa nataka kuipa hii thread tbc wamtangaza nassari kuwa mbunge wa meru.
   
 19. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Kuna mtu aliniacha hoi mchana! Eti tbc sasa hivi inaitwa TB CCM. Hahahaha.
   
 20. M

  Molemo JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Msipokiri ukuu wa Mungu hata mawe yatapaaza sauti.
   
Loading...