Dr. Slaa "Tutashinda kwa asilimia...! wakichezea kura patachimbika!"- Masaa 48 kabla ya kura...

kuna wanakijiji wamehojiwa na star tv,wamesisitiza matokeo halali yatangazwe.
 
Mkuu tunasubiria maana huu umati wa watu japo wengi hawatokei kupiga kura sijui Chadema wameliangalia hili
 
Mimi napata shida sana nikisikia kauli za aina hii. Je siku zote huwa kuna ushahidi wa wazi kwamba CCM wameiba? Au huwa zinaibiwa pasipo CHADEMA kujua? Kama huwa wanajua kwamba zimeibiwa na kuna ushahidi kwanini huwa hawachukui hatua stahiki zikiwemo kwenda mahakamani? Na kama huwa hawajui, huko Arumeru watajuaje kama wameibiwa?

Isije ikageuka kuwa ndiyo kisingizio cha kuanzisha vurugu huku kumbe wameshindwa. Nafikiri namna nzuri ni kutafuta namna bora ya kujiridhisha namna ambavyo kura zinaibiwa ikiwa ni pamoja na kupandikiza mashushu wa CHADEMA ndani ya CCM ili kuweza kuwainform ni nini kinachoendelea upande B. lakini vinginevyo tutabaki kuweka hisia zaidi kuliko uhalisia.
 
Tutune wapi? Mimi nasikiliza salamu za millenia kupitia Radio Free Afrika.
 
Wameru ni hatari,ccm nendeni taratibu hapa na haki pia..ohoooo.HALAFU mwanakijiji huwa ckuelewi manifesto yako dhidi ya cdm
 
Mimi napata shida sana nikisikia kauli za aina hii. Je siku zote huwa kuna ushahidi wa wazi kwamba CCM wameiba? Au huwa zinaibiwa pasipo CHADEMA kujua? Kama huwa wanajua kwamba zimeibiwa na kuna ushahidi kwanini huwa hawachukui hatua stahiki zikiwemo kwenda mahakamani? Na kama huwa hawajui, huko Arumeru watajuaje kama wameibiwa? Isije ikageuka kuwa ndiyo kisingizio cha kuanzisha vurugu huku kumbe wameshindwa. Nafikiri namna nzuri ni kutafuta namna bora ya kujiridhisha namna ambavyo kura zinaibiwa ikiwa ni pamoja na kupandikiza mashushu wa CHADEMA ndani ya CCM ili kuweza kuwainform ni nini kinachoendelea upande B. lakini vinginevyo tutabaki kuweka hisia zaidi kuliko uhalisia.
..Nadhani ungekuwa umesoma jana post yangu niliezea juu ya hali ya siasa ya Tanzania kwa sasa. CCM ni kama mashetani, wakiambiwa ukweli hawataki kusikia, badala ya kuja na njia mbadala wa accountability to the public, wao wanawatishia wapiga kura hata kuwaua!
 
Nimefanya mahojianoya kina kuelekea uchaguzi mdogo wa Jumapili na Katibu Mkuu wa CDM Dr. Wilbrod Slaa.

Mahojiano hayo yatarushwa punde.

Dr. Slaa anatuelezea kinachoendelea Arumeru na vile vile utabiri wake waasilimia ya ushindi wa Nassari!

Stay Tuned...




Ipua ipua ipua!
 
Jacksom michael kwinini chungu ila utainywa,ccm hoi arumeru.THAT'Z DA REAL SITUATION,BT NAJUA IS BAD NEWZ 4 U that wy jiandae kupokea habari chafu dhidi ya magamba tar 1 kaka.
 
hebu tushtue kwanza utapost baada ya mda gani! jana mimi nimekesha mpaka nikafaulu kumdownload yule pumbafu kibajaji ili nimsikilize kwa kituo. leo naomba nisikeshe jamani!
 
CDM, lazima tulinde 12% ya kura zetu ili tusijetoka na aibu! Waache CCM wabaki na 88% yao! Uchaguzi ujao tutajipanga tena vizuri...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom