mama mzazi wa siyoi ni mjaluo wa kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mama mzazi wa siyoi ni mjaluo wa kenya

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by meningitis, Mar 31, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  leo katika kampeni za mwisho jimboni arumeru kumeibuka minongo'no kwamba mama mzazi wa mgombea kupitia ccm ni mjaluo raia wa kenya.

  Mwanzoni mwa kampeni tulisikia utata wa uraia wa mgombea huyu lakini tume ya uchaguzi haikuona dosari.na kupelekea pingamizi la chadema dhidi yake kutupwa.

  Naamini kuna utaratibu kwa wana-usalama wa taifa kujua au kufuatilia wale wote wanaogombea nafasi muhimu za uongozi.je tetesi hizi wamezifuatilia?

  Itakuaje iwapo kijana huyu atashinda na kupewa nafasi nyeti serikalini kama vile uwaziri au kamati nyeti za bunge kama ile anayoshikilia baba mkwe wake?

  Nawasilisha...
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  minong'ono haisaidii. kwenye cheti chake cha kuzaliwa uraia wa mama yake ukoje? that is what matters
   
 3. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,986
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
  dna........................
   
 4. p

  politiki JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  so what ?? mama is not running for MP. She is just regular citizen, we should leave her alone.
   
 5. +255

  +255 JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Hata kama mama yake angekuwa ana uraia wa Iraq, Kinachomata yeye ni raia wa nchi gani..
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,041
  Likes Received: 6,478
  Trophy Points: 280
  ni mamuluki huyo.
   
 7. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  mkuu kwenye mambo ya ujasusi mama huyu anaweza kutumiwa kumshawishi mtoto wake kutuhujumu.jaribu kuona mbali!
   
 8. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  sikubaliani na wewe!hii ni loop hole ya wakenya kutushughulikia!
   
 9. v

  vngenge JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Au ka2mwa na wakenya, maana ile mijamaa ina strategies muyahudi kainvest pale labda wana long range mission yao tush2ke hivi c v2 vya kubeza mtu anaweza kuandaliwa bila hata mwenyewe kujijua
   
 10. M

  Mr Emmy JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,201
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Kama Mama yake ni Mjaluo wa kenya wewe Mama yako ni wawapi? ungeanza kwanza kutumbia Mama yako na wewe ni watu wawapi ndio uje na hoja yako isiyo kuwa na mashiko
   
 11. +255

  +255 JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Watushughulikie kwa lipi haswa? Mbona hamkumuongelea baba'ke..na vipi kwa case ka ya Obama? Labda awe mpuuzi wa kuunganisha maswala ya familia na kazi.
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Obama baba yake ni Mkenya saizi ni rais wa Marekani.
   
 13. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  No research,No right to Speak!!
  Huyu mama ni mzaliwa wa Arusha,baba yake alikuwa anaitwa Ayubu Metili(Marehemu)!!!
  Pia ni ndugu kabisa(tumbo moja) na Ruth Mollel ambaye yuko ofisi ya JK(katibu kama sikosei)
   
 14. K

  Kikulacho Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Yaelekea wewe ni mpuuzi kweli mi nilifikii labla baba yake nd Mkenya, kama huna hoja nyamaza umetumwa nini?
   
 15. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ccm ccm aaaah aaaah chama cha mapinduzi ccm namba waniiii siyoi anawekaaa anatoaaaa waaaa ushindi unakujaaa!
   
 16. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  unamuongelea mama mzazi au mama mwingine?
   
 17. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  mama yangu ni mkwe''re!
   
 18. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  punguza jazba ndugu yangu,jadili hoja!
   
 19. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Namzungumzia mjane!Mama mzazi wa Sioi!!!Kwao ni Ilboru-Arusha
   
 20. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Hata baba yake rais wa marekani obama ni mjaluo wa kenya!
   
Loading...