Uchaguzi arumeru live itv

Said Bagaile

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
686
256
ITV wanafanya live coverage ya uchaguzi wa Arumeru Mashariki asubuhi hii. Kipindi kipo hewani
 
Yaaap na wameshatangaza CCM wameanza uchakachuaji, kituo cha usa wamekamata mifuko iliyofungwa ndani ya kituo cha kura. Peoples Power tusongembele
 
Yaaap na wameshatangaza CCM wameanza uchakachuaji, kituo cha usa wamekamata mifuko iliyofungwa ndani ya kituo cha kura. Peoples Power tusongembele

Mmh, wameishaanza kuchakachua mapema hivi!
 
ITV wanafanya live coverage ya uchaguzi wa Arumeru Mashariki asubuhi hii. Kipindi kipo hewani

Yap, masako na fatma wanakamua live. Hapo Usa kuna msimamizi kakutwa na mfuko mweusi ndani wakamlazimisha aufungue. Mwenyewe amedai ni chakula, pametokea sintofahamu kidogo ila hatimaye hali imerudi kuwa shwari
 
Back
Top Bottom