Picha za Leo Mkutano wa CDM Tengeru Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha za Leo Mkutano wa CDM Tengeru Arusha

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by bagamoyo, Mar 31, 2012.

 1. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,533
  Likes Received: 2,114
  Trophy Points: 280
  Wakuu net bado inaleta longolongo lakini cheki clipp hii ambayo TBC1 nao wameionyesha lakini wakainyima rangi!!!!
  View attachment 50642 View attachment 50643 View attachment 50641 View attachment 50644 Wakuu picha ani nyingi sana ila kwa kuanzia angalie hizo.
  Ona sera za CCM!!!!!!!!!
  Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
  Pigaaaaaaaaaaaa
  Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiii. Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiiiii Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
  Kijaniiiiiiiii.
  Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
  CCM Oyeeeeeeeeeeeeeee. Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee.


  Nguvu ya Umma katika picha-video siku ya kufunga kampeni ya uchaguzi Arumeru Mashariki:


  Video kwa hisani ya Tangibovu wa youtube
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Sina cha kuongea zaidi ya kuwaombea makamanda wote afya njema, usimamizi na ulindaji wa kura hiyo kesho..hakika wameru wameamua!umati umenisisimua sana!
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Fuso FREE ZONE - 100% Arumeru Mashariki.
   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  ubarikiwe mkuu
   
 5. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Asante kwa picha. Napenda picha zako kwa vile zina tarehe picha iliyopigwa.
   
 6. e

  evoddy JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mungu yupo pamoja nasi tulianza nae na tumemaliza nae

  ninakushukuru mungu kwa maana nguvu ya umma kesho itashinda nguvu ya fedha
   
 7. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,991
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  love this....

  "CCM wanajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe"
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mungu wa Israel,Isaka na Yakobo na aongoze wana Arumeru kesho.Mwanadamu ni nani hata ashinde nguvu ya Mungu?
   
 9. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nataka magamba wakose cha kusema kabisa.

  Ona sera za CCM!!!!!!!!!
  Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
  Pigaaaaaaaaaaaa
  Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
  Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
  Kijaniiiiiiiii.
  Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
  CCM Oyeeeeeeeeeeeeeee.
  Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Chadema tumaini jipya, tokomeza mafisadi
   
 11. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  itv wamebana lakini wamesahau jf iko live!
   
 12. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Duh, hapa CCM wakubali yaishe tu, maana mkutano wa kwao ndo huu hapa kwenye picha inayofuata. Hata waibeje hapa hatoki mtu
  photo.JPG
  Picha kwa hisani ya michuzi blog
   
 13. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  asante sana mkuu!! barikiwa
   
 14. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,830
  Trophy Points: 280
  Hakika Mungu tulianza naye na tunamaliza naye.
   
 15. M

  MOSHIZZLE Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 72
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Uwiii, maajabu au macho yangu kesho hachomoki mtuuuu
   
 16. B

  Bubona JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mungu awabariki wana wa Arumeru Mashariki wote; awape hamasa ya kwenda kupiga kura kesho. Hakika jimbo hili litapata ukombozi wa kweli kesho. Mungu ibariki CDM, Mungu wabariki Arumeru Mashariki.
   
 17. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  M4C is there to WIN
   
 18. m

  maramojatu Senior Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tulinza na mungu tunamaliza na mungu. Walianza na rushwa wanamaliza na rushwa na matusi. Wenye akili tumeshakula 40k zao akili tunayo
   
 19. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Aksanteni sana wakuu
   
 20. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Yumkinika hata kama wakiiba sidhani kama zitatosha kuifanya CDM isiibuke mshindi, labda sana sana wajitahidi kupunguza aibu ya kushindwa.
   
Loading...