Vijana Arumeru lindeni kura zenu

sodeely

Senior Member
Oct 3, 2011
187
117
Njia hii ndio iliyotusaidia sisi mwaka 2010 hapa Musoma.
Baada ya kumaliza kupiga kura,tulikaa mita 100,tukalinda kura zetu.
Hatukuogopa vitisho vya polisi wala usalama wa Kikwete.
Tukayabana mafisadi,hadi tukashinda kwa kishindo.

Vijana wa Arumeru nanyi fanyeni hivyo leo.
 
TUMEKISIKIA NAMI NIPO HAPA TAYARI NIMECHAGUA NASARI NAHAKIKIKISHA NAILINDA KWA NGUVU YOYOTE! NIMESAFIRI KUTOKA MBALI FOR THAT PURPOSE ONLY. nIKIKUMBUKA NA NA VIBOKO VYA HAWA ******* WA GREEN GUARD. KITAELEWEKA TU
 
ni kweli mkuu, swala la mita 100 ni mhimu sana ktk siku ya leo, vijana arumeru shirikini vizuri ktk ulinzi wa kura zenu, ili mradi mkubwa wa chama kesha tangaza mkesha wa kulinda kura, basi lets make it. Viva to you arumeru soldiers
 
TUMEKISIKIA NAMI NIPO HAPA TAYARI NIMECHAGUA NASARI NAHAKIKIKISHA NAILINDA KWA NGUVU YOYOTE! NIMESAFIRI KUTOKA MBALI FOR THAT PURPOSE ONLY. nIKIKUMBUKA NA NA VIBOKO VYA HAWA ******* WA GREEN GUARD. KITAELEWEKA TU

Wahamasishe na wengine..
 
Huo ndio mpango mzima! mpaka kieleweke,kama noma naiwe noma, TUMECHOKA KUDANGANYWA! ALUTA CONTINUA!
 
Back
Top Bottom