01/04/2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

01/04/2012

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Kamzuzu, Mar 31, 2012.

 1. K

  Kamzuzu Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku ambayo Wana Arumeru wanapiga kura kumchagua mwakilishi wao bungeni,naamini muda wa mabadiliko umewadia tuelekee katika maendeleo chanya ya nchi yetu miaka hamsini ya uhuru imetufungua kujua nchi inaelekea wapi wapiga kura wa Aremuru ndio wataamua maisha yao yawe ya gharama gani kwa kumchagua mtu atakayewapigania kutoka katika umasikini ,TUNAHITAJI MABADILIKO,"MUNGU IBARIKI TANZANIA NA ARUMERU MASHARIKI"wajinga mtasherehekea cku yenu uchaguzi hautawaathiri,AMEN!!
   
 2. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda sana.
   
 3. K

  Kikulacho Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni kweli ndg.
   
 4. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kamanda hiyo ni kweli
   
 5. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Pamoja mkuu.
   
 6. y

  yplus Senior Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  To day is My Birthday
  I m Happy because i m in Arumeru,Voting for Josh and is the Historical phenomenon to me.

  Happy birthday to me,Happpy birthbay to me...
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  happy birthday
   
 8. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ushawishi na vishawishi vilikuwa vingi. Tunamuomba Mungu awaongoze wanaArumeru mashariki kwa amani na utulivu. Amen.
   
 9. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Happy Birthday.

  Sent from my GT-I9100 using Tapatalk
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,136
  Likes Received: 7,383
  Trophy Points: 280
  Binafsi hii Siku naichukulia kwa aina ingine kabisa.
  Naona kama ni Siku ya "mtego" kwa Wana-Arumeru.


  Why??
  Leo ni SIKU YA WAJINGA duniani, including Arumeru.
  Ndio kipimo cha Kuamini Wana-Arumeru ni wajinga kiasi gani.

  Utakua ni mjinga ukiamini kua nitakuletea Maji wakati aliekuahidi mwanzo na hakukuletea nilikua nae muda wote (Marehemu Baba). Haya mambo ndio waliyoyakataa Wamafia kwa kumtosa Omary Kimbau wakati baba yake alipitia huo Ubunge na hakufanya kitu.

  So hii siku ya leo ni ya kuwapima Wameru Kama wamepumbazika vipi.
   
Loading...