Watangazaji wa TBC leo ni wanyonge na sio wenye nyuso za furaha.

MANGUNGO

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
1,536
352
Wakuu!nimemwona mkurugenzi wa arumeru,watangazi wa tbc na kamanda wa polis arumeru wana nyuso za majonzi!nini kimetokea?
 
Hao jamaa wamekuwa wanyonge baada ya kupata madogo ya msimu mzima wa Kampeni za Arumeru, ukizingatia jana waliaibika baada ya kukosea habari badala ya kurusha Picha za CCM wakarusha za CHADEMA. may be wazee wa Itifaki wamewa...........
 
Back
Top Bottom