Uchaguzi wa Arumeru- Live Kutoka Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi wa Arumeru- Live Kutoka Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by ibange, Apr 1, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wana Jf, mimi nipo Arumeru mashariki najaribu kutembelea baadhi ya maeneo kuangalia upigaji kura unaendeleaje. Hapa nipo eneo naambiwa linaitwa Nkwaranga. Upigani kura unaendeleo vizuri. Naomba waliopo maeneo mengine watujuze tuwe live hadi matokeo yatangazwe.
   
 2. i

  ibange JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nipo kitua kinaitwa kimundu karibia sana na Tengeru naona watu wachache sana. Wengi wamepoteza vitambulisho. Huu utaratibu wa kupiga kura bila ku update daftari la kura ni mbaya sana
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  MoDs tafadhali unganisha na ule uzi wa Jackbauer. Tunashukuru kwa updates mkuu lakini kuna uwezekano watu walishapiga kura na wamesarudi majumbani.
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ahsante mkuu. Endelea kutujulisha.
   
 5. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,215
  Likes Received: 10,568
  Trophy Points: 280
  Hivi mbunge Nassari alipiga kura kituo gani tena vile?
   
Loading...