Lusinde Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lusinde Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by CAMARADERIE, Mar 19, 2012.

 1. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Nimemsikia ati anawaomba wana Arumeru Mashariki wamchague Sioyi ili afute machozi ya kufiwa na baba yake......vilevile ati apate ubunge ili apate pesa ya kuitunza familia.......hivi ni akili gani hizi?........wapiga kura wao hawajafiwa na baba zao?...nao iweje?
   
 2. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  msingi Lusinde kaongea ukweli wa moyoni mwake. Hiyo ndiyo nia pekee ya mgombea wa CCM kuomba ubunge na si vinginevyo.
   
 3. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio maana alifanya kampeini za kumuondoa baba yake Mzee John Malecela kwenye kura za maoni huko mtera, sasa huo mshahara wa baba yake anaipa familia husika? Hapo atafutwe huyu kijana aweze kujibu hii hoja ya Mshahara aliokuwa anapata mzee wetu maarufu Tingatinga unaenda wapi.
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Safi sana LUSINDE. Nadhani wewe ndiyo size ya Vicent Nyerere
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  ili iweje? akishajibu.
   
 6. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kama kila atakaye kufa akiwa kiongozi atamrithisha mwanae (hata kama hafai), sidhani kama tutakuwa na demokrasia endelevu.
   
 7. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hivi huyu Lusinde ni mtu wa aina gani?
  Halafu inaonekana jamaa ni mvivu wa kufikiri, hata mtoto mdogo hawezi kuropoka maneno ya kijinga kama haya
   
 8. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  He huyu Lusinde anasema Sioi awepe ubunge apate mshahara wa kuitunza familia yao, si Makinda alisema Ubunge ni umaskini sasa kama ni kweli huo mshahara utatosha vipi! Vinnginevyo asante sana mropakaji Lusinde kwa kusema dhamiri halisi ya CCm huko Arumeru! Wana Arumeru mwenye masikio haambiwi tazama, mmeisha ambia jamaa anatka ubunge sio kuwasidia ninyi ila familia yake!
   
 9. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mi wala sishangai haya maneno maana yanawezxa kwua ndio ukweli wenyewe. Nasubiri kuwashangaa wana Arumeru baada ya matokeo kutangazwa
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kumbe ubunge ni Ajira!
   
 11. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,542
  Likes Received: 18,172
  Trophy Points: 280
  Mkuu Canaraderie, kuwa kichaa sio lazima mpaka mtu aokote makopo!. Mhe. Lusinde ni miongoni mwa watu hawa ambao sio mpaka waokote makopo!.

  Ni Lusinde huyu alietoa hoja bungeni kuwa milango ifungwe, watu watwangwane!.

  Ila pia alichosema kuhusu Sioi ni kweli, atashindia kura za 'symphathy"!.
   
 12. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Magamba kama wanashindwa kuwa na wazungumzaji mbona ni hatari, ninacho kiona ni chaguzi ndogo kuwa kikwazo kwa wabunge wengi kurudi kwa awamu nyingine bungeni, hizo kauli za kipuuzi wanazotoa kwenye kampeni za chaguzi ndogo zinatufikia wapiga kura wao, kwahiyo tukiwapima wanaonekana hawafai kuwa wabunge.
   
 13. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo sababu ya SIOI kugombea ubunge ni kwa ajili ya kufuta machozi ya kufiwa na baba yake pamoja na kupata fedha za kutunza familia na siyo kuwatumikia wananchi wa Arumeru!!!!. Wana wa Arumeru si mmesikia? haya jiepusheni na mtu huyu hayupo kwa ajili yenu!!
   
 14. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  jamani ndo Mana William Malechela kaja kumfuta baba yake machozi ya kutukanwa na hiki kibajaji aka Lusinde wakati wa uchaguz uliopita.
   
 15. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mkuu Pasco, sidhani kama watu wata-sympathise na mtu aliye tayari kuacha maombolezo ya baba aliyezikwa juzi na kuingia kwenye siasa. Sioi ameonesha kutokuwa na mapenzi na baba yake. Ilitakiwa asigombee uchaguzi wa kuziba nafasi ya baba yake ilitakiwa asubiri 2015.
   
 16. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Halafu nashangaa hv Lusinde huyu na yule wa Cdm-Mbeya ni ndugu? Kwa nn asiombe ushauri kwa kaka yake?
   
 17. p

  pstar01884 Senior Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yule wa Cdm Mbozi Magharibi anaitwa David Silinde na sio Lusinde kilaza wa Mtera. Hapo umechanganya majina.
   
 18. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Ndo wanaume wa tanzania hao? Kwa vichwa vya namna hii umaskini utaisha nchini kweli?
  Hadi tumbo limeniuma
   
 19. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ili tujue anachokiongea Arumeru Mashariki, yeye ndicho anachokifanya kwenye familia ya Mzee John Malecela.
  Mshahara aliokuwa anaupokea baada ya kumtoa kwenye ubunge anaupeleka kwenye familia hiyo?
  Mtu akileta mada yake huwa ana namna ya kuilinda ili asionekane mnafiki machoni mwa watu anaowaelezea, vinginevyo maneno yake hayana mantiki kuwa baba wa sioi kafariki basi mtoto apewe ubunge aendelee kutunza familia, huyo mgombea anafanya kazi benki kuu ana mshahara lakini pia ubunge usingekuwepo tutegemee hiyo familia ingepoteza maisha? Familia zilizokuwa kwenye kipato chini ya dola moja mbona zinaishi vizazi na vizazi ukishajua hilo basi itakuwepo haja ya huyo kijana wa Mzee Job LUsinde Malecela kutoa majibu.
   
 20. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kwahiyo unataka wanaume ndo waondoe Umasikini?
  Wewe ukiwa unafanya nini? unapika ugali au?

  :crazy:
   
Loading...