Mcheza Karate
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 690
- 350
Ktk hali isiyokuwa ya kawaida vijana wanaoaminika ni wa chama tawala(CCM) wakiwa ndani ya gari la mh. Diwani wamevamia kituo cha kupigia kura na kujipa kazi ya polisi ya kusimamia mistari na kutoa maneno ya vitisho kwa kutishia mwanachama mwingine wa chama chochote atakayefanya vurugu atakiona. MY NOTE: Si ruhusa kwa mtu ambaye si mpiga kura(isipokuwa wasimamizi wa kituo na maafisa wa Tume ya uchaguzi) wa kituo husika kusogea umbali wa ndani ya mita 100 kutoka kituo cha kupigia kura, iweje wenzangu wa CCM wanafanya haya, kama ulinzi askari si yupo? Hofu ya nini? SOURCE: Radio one, Radio 5-Arusha.