CCM imeshindwa vibaya arumeru mashariki katika kinyang'anyiro cha ubunge wa jimbo hilo lililoachwa wazi na marehemu jeremiah sumari!kushindwa kwa ccm hakujatokea kwa bahati mbaya,kiukweli hata...
Kufuatia kitendo cha Lichama Kubwa la CCM kugalagazwa na "chama cha musimu" CDM katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru mashariki, nani wa kulaumiwa kati ya wafuatao: Mkapa, Wassira, Lowasa...
Na. Joshua Nassari
MATATIZO YOTE YA KIUTAWALA na kiutendaji ndani ya serikali na taasisi zake mbalimbali ambayo tunayaona katika jimbo letu la Arumeru Mashariki yanatokana na Chama cha...
Mkuu
Balantanda, mara tu baada ya Sioi kutangazwa kushinda marudio ya kura za maoni
ndani ya CCM baadhi ya watu na hata vyombo vya habari walisema kuwa Lowassa ni
heavy weight kwa ushindi wa...
Note this guys.
Hata kama CHADEMA watashinda katika kata ya Kirumba na jimbo la Arumeru Mashariki (ndivyo inavyoelekea).
Matokeo hayo yatageuzwa kwa ubabe, nguvu na wizi
(kama ilivyokuwa...
Wana JF
Hofu kubwa imetanda miongoni mwa makundi ndani ya chama tawala kuwa huenda kesho kamati kuu ikamkata mgombea aliyeshinda Arumeru Sioi Sumary na kumpitisha William Sarakikya. Hii ni...
Tumeshuhudia matukio ya vurugu za namna mbalimbali hata tumefikia hatua ya kujeruhiana kwa mapanga na namna tofauti ktk chaguzi zetu mbalimbali zilizofanyika hivi karibuni zikiwepo za Ubunge na...
Kwa yule aliyesema wa JF tumeuchapa usingizi siyo kweli laptop zimeheat zinakaribia kucease. mind you cdm imeibuka kidedea hata chaguzi ndogo za madiwani zilizofanyika jana. Ila wafuatao uchaguzi...
STAR TV- msoma magazeti aruka vichwa vya habari vinavyohusu matokeo ingawa picha zilimsuta. Mf. Mwananchi iliandika "CCM HOI ARUMERU MASHARIKI" kilirukwa
Msimamizi asoma matokeo kwa kigugumizi...
Nimejifunza mengi sana kpitia hizi chaguzi ndogo (Arumeru mashariki, Kirumba n.k.), lkn cha msingi & muhimu zaidi ni kwamba hata mimi sasa naweza simama na kugombea nafasi ya ubunge au urais wa...
Unafiki wa Tbc kipindi cha kampeni umewadhalilisha na wamejipatia aibu ya kutupa kwani walionyesha upendeleo wa kutosha halafu hapa Arumeru wanamng'ang'ania eti wamhoji baada ya kutangazwa aibu...
Wakuu naomba tuangalie issue hii kwa mapana, tusiangalie kwa mtizamo wa mvutano kati ya CCM na CDM, kwani tunaona kuwa nchi yetu imefika hatua ambayo naweza kusema tunaonekana kuchangamka kisiasa...
Hivyo makamanda nawaomba muwe macho kudhibiti haya mafisadi,inasemekana kuna kura bandia pamoja na wakuu wa vitengo hapa nchini. Makamanda tuko pamoja kazeni kamba lazima ccm izikwe b4...
Hatimae watangajazi wa TB-CCM imebidi wawe wapale kama maji ya mtunguni huku roho zikiwauma kwa kutangaza matokeo ya pipozzzzzzzz powerrrrrrrrrrrrrrrr wakipata ushindi. Inabidi wasome alama za...