Wakuu kutakuwa na mkutano wa kuwapongeza wanaarumeru kwa uamuzi awo wa kuchagua Chadema na kukikataa CCM, kuchagua haki na kukata dhuluma, kuchagua Mungu na kukataa pesa chafu, kuchagua mabadiliko...
Kuna wakati iliwahi kutolewa pendekezo hapa jamvini kuwa BAWACHA wamekuwa kimya sana katika kujitangaza ikiwa ni kama mkakati mmojawapo wa kuwafikia kina mama wengi zaidi katika SIASA za CHADEMA...
JF Members! I found this from the AfDevInfo web page so share with me for knowing who is a real PhD titled personnel.
Dr. W. P. Slaa
Born in 29 Oct 1948
EDUCATION
International Eye H. Centre...
waungwana ukiitizama hii hati ya ushindi aliyopewa ndugu yetu mbunge mteule wa arumeru mbona huu mwandiko ni kama wa mtoto wa chekechea au ndio mkono ulikuwa unatetemeka sana kwa kutojiamini na...
Ninawashukuru sana watu wa Arumeru Mashariki ambao hawakujali umri wangu, uwezo wangu kifedha, historia ya familia yangu katika siasa, na mapungufu niliyokuwa nayo lakini wakakubali kunichagua...
My Take,
Kikwete ni dhahabu kwa upinzani,kwa ninavyomfuatilia sasa hivi kikwete kiundani anafurahi matokeo ya Arumeru, hakuwa anajihusisha sana kama Mwenyekiti just to put a statement there...
Katika hali isio ya kwawaida, Mgombea wa CCM bw.Sioi Sumari, alijikuta akiwa peke yake kwenye chumba cha kuhesabu kura, huku wapambe Livingstone Lusinde,Mwigulu nchemba,Christopher ole Sendeka, na...
Na Elvan Stambuli-Globalpublishers
Mgombea ubunge katika Jimbo la Vunjo kwa tiketi ya TLP, Augustine Lyatonga Mrema, amesema anapanga kujibu mapigo kwa kuhamishia nguvu zake katika majimbo matatu...
Hakika ni pigo takatifu kwa magamba,naamini ni mwanzo mzuri kwetu kuanza harakati za kuuelimisha wananchi pande na kona zote za Tanzania.Napendekeza ya kwamba mwisho wa mpambano wa arusha uwe...
Katika mambo yaliyousikitisha umma wa wastaarabu wa Tanzania katika kampeni za Arumeru Mashariki ni kauli chafu iliyotolewa na mbunge wa mtera (sijui ni mheshimiwa au ni kichaa) Livingistone...
TUME ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) inaiomba Serikali ipandishe kodi ya vinywaji vikali ikiwa ni pamoja na mvinyo na bia, na pia kodi katika vocha za simu ili Tume hiyo ipate fedha za...
Hata hao wawekezaji wanaopewa ardhi kwa bei ya kutupwa waangalie hali halisi ya jamii inayoizunguka.
Wawekezaji wasome alama za nyakati, wawekeze mabilion yao halafu muda mfupi ujao wataacha...
Kuna watu wengi hatukubahatika kuangalia live uzinduzi wa M4C (Movement for Change) huko Arusha. Nasikia ilisisimua sana na ilijaa hotuba za hamasa ya ukombozi wa nchi yetu. Nawashauri Chadema...
Zimebaki siku saba kamili ambapo Joshua Nassari atasimama na kuapa mbele ya bunge kuanza kazi yake.
Kikao cha KWANZA cha mktano wa SABA wa bunge la KUMI unaanza Tuesday, April 10, 2012.
Wakuu,kwanza naomba nijiwakilishe kuwa mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa japo siasa ninaipenda.Pia naomba nieleweke kuwa nachukia ufisadi,unafiki wa kisiasa na umaifa wa kisiasa...
Kulikuwa na utoaji kauli kali na chafu kutoka kwa wapiga debe kuanzia kwa BWM,Wadirahadi mcharuko Lusinde..Keyboard pia zilimwaga maudhi na kejeli zikiongozwa na rejao,mzee,balantanda,fisadi mtoto...
Nimeongea na watu mbalimbali, wakiwemo wanasheria waliobobea, wamehakikisha kuwa ifikapo tarehe 05.04.2012 Ubunge wa Godbless Lema utatenguliwa rasmi, kutokana na mapungufu ya kisheria...
Kwa mamlaka aliyopewa Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ambapo Ramadhan Abdallah Shaaban amekuwa Waziri Ardhi, Maakazi, Maji na Nishati, Ali...