Baraza la wanawake wa CHADEMA mpo?

interprevist

Member
Apr 2, 2012
34
13
Kuna wakati iliwahi kutolewa pendekezo hapa jamvini kuwa BAWACHA wamekuwa kimya sana katika kujitangaza ikiwa ni kama mkakati mmojawapo wa kuwafikia kina mama wengi zaidi katika SIASA za CHADEMA. Ilipendekezwa kwamba wawe wanatumia njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutoa matamko ya kupongeza, kulaani, n.k. Cha kushangaza hadi leo hii hatuoni jitihada za maksudi katika hili. mfano hata kutoa tamko la kulaani kushambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa makamanda wetu kule mwanza, Au hata kutoa tamko la kupongeza jambo jema ambalo Mungu ametufanyia watanzania Kwa kutupatia Mbunge kutoka chama makini (CHADEMA)- Mh. Joshua Nassari. BAWACHA mko wapi?

Mimi hata mwenyekiti wake sina uhakika kama namfahamu, mbona kina Heche twawzfahamu?

CHADEMA ifanye nini ili kuilazimisha BAWACHA ifanye kazi yake. au kuna haja gani BAWACHA kuwepo?
 
Mh nadhani mzee kitila kama mshauri wa chama lazima utakuwa na neno hapa ngoja tukusuburi wasiwategee tu akina mzee slaa na Ndesa nanyi chakarikeni tafuteni mabinti strong wawasaidie
 
Bawacha wanaonekana ni sikio la kufa,labda tuombe viongozi wa CHADEMA waangalie upya nini
kifanyike kuhusu Bawacha,maana tuliahidiwa kuwa sasa itasikika.Lakini Wamekuwa kimya mno.
Hebu nianze kwa kuwaomba Bawacha waje Segerea waitishe mkutano wa wamama ili kuwahamsisha.
Tulitegemea kuwasikia kwenye vyombo vya habari kuhusu haya matukio yaliyotokea,au kuhamasisha
japo kwenye uchaguzi wa udiwani Vijibweni lakini kimyaaaaa.haya Bwana acheni wamama wendelee kudanganywa
kwa kanga na T.shirt.
 
Nina imani na Mh.Mdee, naomba alifanyie kazi suala hili. BAWACHA ikitimiza wajibu wake basi akina mama maeneo mbalimbali ya nchi hii wataamka na kuachana na kuwa mtaji wa magamba. BAWACHA wake up!!
 
Wakina dada 2po weng 2naoipenda chadema na 2napenda mabadiliko. tatizo hawa ndugu ze2 wako kimya kias ambacho ht cc 2nashindwa kujua ht taratibu za kujiunga zinakuaje. may b kupitia jf wanaweza kujitokeza.
 
Tupo lkn kikwazo ni kwamba wengi ni watumisha wa serkali tena idara nyeti. Ila tutaendelea kuunga mkono harakati zote nyeti.
 
Tupo lkn kikwazo ni kwamba wengi ni watumisha wa serkali tena idara nyeti. Ila tutaendelea kuunga mkono harakati zote nyeti.

Nafikiri mnalo jukumu la kuweka wachacharikaji wengine pia ili kukipa chama uhai,chaguzi za serikali za mitaa hazipo mbali,mnahitajika kwa uhamasishaji na ushiriki wenu wa hali ya juu.Haitakuwa sawa 2je kuwasikia wakati wa kutafuta viti maalumu.Jengeni mtandao mpana wa kudumu.
 
Nawasihi kama kuna wadada na wamama wanaoipenda CDM kwa dhati, basi email za BAWACHA na CHADEMA ziko wazi zitumieni kufikisha ujumbe; HILI LITAJENGA SANA CHAMA.

Hata hivyo niwasihi tena viongozi BAWACHA, kupanga mkakati wa kuelimisha wanawake TZ; pangeni mkakati kama mtahitaji fedha, leteni proposal kwa wananchi, mchango itatoka.
 
BAWACHA haina mwenyekiti baada ya mwenyekiti kuacha chama na kuhamia NCCR baada ya kukosa ubunge wa viti maalum. Sasa hivi kaimu mwenyekiti ni Suzan Lyimo (MB) na yuko active sana. Kama unakumbuka katika M4C ya Arusha (Harambee ya juzi0 yeye ndo alikuwa Mwenyekiti wa Maandalizi. Hata hivyo ipo challenge ya kupata wanawake jasiri kuja kuongoza maana wanawake wengi strategic wako serikalini (wakiwemo mawaziri) na wanatuunga mkono vizuri lakini hawajajengewe uwezo wa kuwa huru na kufanya maamuzi magumu.
 
Yaani mmenigusa mno,kwanza wanawake wamekuwa nyuma mno kujitokeza hata kwenye vikao vya chadema mitaan why? 2badilike naamini mwanamke anauwezo mkubwa wa kuibadilisha tanzania kuanzia kwenye ngazi ya familia mbona umbeya mnaweza??? Punguzen ubusy tafadhali, nawakilisha hili kwa machungu mno loh!
 
nimefurahi sana kusikia kwamba bawacha wabatafuta wanawake na wadada mbona tumejaa tele tatizo hatujui tuanzie wapi viongozi wetu mmelala jamani amkeni basi muda ndio huuu wanawake ndio wapiga kura tunaomba mawasiliano ya bawacha ili tujue tunaanzia wapi please
 
nimekuku bali mkuu, kweli tunahamu sana na BAWACHA lakii hatujui pa kuanzia, CAUSE MAGAMBA,wanakaribia kufanya uchaguzi so watawateka wale wote wenye nia njema na bawacha. Njooni matawini, acheni kulaaa.
 
Back
Top Bottom