Tazama tunavyoaibika

Nimeisikiliza, nimesikitika sana.

Ni kama tuna laana vile nchi hii. Kama kweli kuna adhabu siku ya mwisho, nadhani Mungu atatwambia Watanzania tusubiri kidogo, bado atakuwa anatafuta adhabu yetu maalum kwa sababu tutakuwa tumemwangusha sana akizingatia ametupatia kila kitu tunachohitaji na bado tukashindwa kutumia.
 
Too much politics to simple staffs like cotton, kama pamba si bora, si wawekeze wafanye utafiti kuiboresha! Bull shit, that's why everytime I hit this pic below!! Let it be for now, but if our decision to throw away this thieves is wrong, we will learn and make a good decision for our future. Wanatuchelewesha sana!!
View attachment 50927
 
Yeah..Haya ni machache sana unayoyajua kuhusu Tanzania...halafu mwehu fulani anakuja kukuambia Nchi ina Amani ya kutosha na Maisha mazuri.....hivi??.......
 
Waafrika wajinga sana!!!!!!!!tuna lima pamba tuna export india halafu sisi wenyewe tunaenda tena india kununua gloves na nguo toka india na china!!!pesa za kampeni za ccm arumeru zisingetosha kujenga kiwanda kidogo cha gloves huko shinyanga?
 
Madaktari wamegoma wanafanya kazi mazingira magumu mkawaona wehu,leo mgonjwa anaambiwa akanunue drip!!!!!!!!
 
safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

mpaka tukume,si ndio maisha tuliyojichagulia hayo.mkiambiwa mabadiliko mnalalama,magufuri akitaka kubomoa tupate barab ara mnalalamika,lipeni ktk vivuko mnalalamika,sasa basi ili kuwaridhisha nyie mnaolalamika serikali imeamua kuuza viwanda vyote ili muwe free msifanye kazi mla raha mnalalamika,sasa mnataka watu wafanyeje?

ndio maana huwa nasema hakuna haja ya kumtazama mtu usoni ni bora watu waumie sasa lakini mbele ya safari wapo watakao faidi

huwezi kuleta maendeleo bila watu kuonja maumivu
 
Aibu tupu......kichefuchefu...zote hizo ni 10% za watu kupeana ulaji huku wamama na watoto wanakufa issue ni gozii ####@&&xxxxxxx Kudadeki
 
Hili ni janga la Taifa letu. CCM ni janga la Tanzania, maana imeweka mbele sana siasa kuliko kitu kingine chochote. Utaalamu kwao ni kitu cha ovyo, kinasumbua au kinatishia ubabe wao, kwahiyo asiwepo mtu kujisikia mtaalamu. Ndiyo maana makakati wao hata wale waliosomea na kufuzu katika taaluma muhimu huwarubuni kukubali kufanya kazi majukwaani. Wanahakikisha wataalamu hawalipwi mishahara ya kutosha ili waziponde taaluma zao, na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa tu. Ndiyo maana unaona hali inazidi kuwa mbaya. Mtu unashindwa kuelewa Wizara hiyo inaendeshwa na Madaktari waliobobea lakini wamesahau mahitaji rahisi namna hiyo.
Tanzania inahitaji Dikteta makini kuliko Kagame, hawa wanastahili kunyongwa tu maana wananyonga wakina mama na watoto wengi namna hiyo bila kujali hata kidogo. Halafu wao wakikohoa tu wanakimbizwa nje ya nchi kwa matibabu.
Mungu ibariki Tanzania ili elimu ya ukombozi wa Taifa izidi kuenea miongoni mwa wananchi.
 



Na kuna mtu anakuja kukuambieni kuwa all is fine


tanzania tanzania nakupenda kwa moyo woteee,nhi yangu tanzania sura yako ni tamu sanaaaaaaaaaaaaaaaaa

haya sasa hata gozi ni dili,jamaa wanasema eti pamba yetu haiwezi kuvyoza damu kweli inaingia akili? nadhani sasa kweli mabadiliko yanahitajika,kwani hapa tunaongelea afya ya akinamama ambao wote tumetokea huko na kama si mama yako basi ni mama wa mwenzako ama dada ama mpwa,jamani tuanze sasa

kama sio sisi nani aje kutufanyia?
 
Last edited by a moderator:
Hii ni mojawapo ya mifano mingi juu ya serikali ya CCM kukosa ubunifu, kutowajali watanzania wanaohitaji huduma za kina mama na watoto.

Uzalishaji wa gozi (gauze) kwa kutumia pamba ya wakulima wa Tanzania ingeongeza ajira za viwandani Tanzania na pia kuwa miongoni mwa soko la uhakika kwa wakulima wa Tanzania, lakini tunawapatia soko na ajira watu wa India !

Kweli CCM sasa imekuwa 'chakavu' haipaswi hata kuwa 'recycled' bali chama makini kama CHADEMA kije na mikakati ya kuinasua Tanzania.
 
Na bado!!! Si kila uchaguzi unapokuja mnajiunga misururu mireeeeeefu kukata viuno kwenye taarabu na Bongo flava bila kujali kusikiliza sera? Hiyo ndiyo dozi inayowastahili, vilaza ninyi!!!!!
 
Na bado kuna watu wanaamini CCM ndo bora. Tatizo Watanzania wengi wamefanya matatizo kuwa part of their life. They can no longer imagine any better life.
 
Na bado tunaambiwa kuwa hatuna uzalendo

waziri kivuli wa afya anasemaje kuhusu hili?
 
Kina mama hao hao. Wakipewa pesa kidogo na kanga za kijani. Wanakata mauno utadhani sijui nini?? Haha, hawa mama zetu hawa
Eti utawasikia, tumemzoea handsome boy wetu "jK". Haha
 
Eti Tumethubutu ....Tumeweza ........Tunasonga Mbeleee!!!! Aibu!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom