Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

M4C: East Arumeru, East Arumeru do you copy? East Arumeru: Louder and clear sir! M4C: What are you doing now? East Arumeru: We are maneuvering counting down to 2015 sir! M4C: Time is critical...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndiyo Wakuu ! Ule usemi usemao mjinga akijitambua,mwerevu upo matatani umetimia jumapili nextweek baada ya cdm kuibwaga ccm kwenye uchaguzi wa mwenyekti wa kijiji Nyehunge,wilaya Sengerema,MWANZA...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tukiwa tumejipanga kwa hukumu yoyote,pengine ile itakaayoonyesha udhalimu na kuingilia uhuru wa watu kuchagua itasaidia Arusha kukombolewa kwa njia ya nguvu ya umma.SHUKRANI mipaka imetanuka baada...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
True sons and daughters of Tanzanians are pleased with the recentemphatic win of CDM over CCM in Arusha, Mwanza and Mbeya. It has been apleasure to read articles of hope over hopelessness from...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Ndugu wadau, Ukweli kuwa CCM ndio chama kikomavu na cha kidemokrasia umedhihirika baaba ya kushindwa ARUMERU. Mgombea wa ccm ameahidi kutoa ushirikiano na amempongeza nasary kwa ushindi mdogo...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Kura ya maoni CCM kuchagua majina ya uwakilishi Bunge la Afrika Mashariki imeanza. Ni upande wa Zanzibar sasa. Lakini uchaguzi umeanza vizuri bila kashfa yoyote, habari kamili baadaye. Nawasilisha
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa jinsi mambo yanavyoendelea ndani na nje ya CCM naamini kwa dhati kabisa kwamba chama hiki sasa kinajinoa kuwa chama cha upinzani na kuwaachia CDM hatamu zote. Nasema CCM ni sawa na sikio la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF, mwenye taarifa ya hukumu ya kesi ya kupinga ubunge wa kamanda Lema atujuze, maana leo ndo tar 4/04/2012 na sahizi ni jioni ya saa moja kasoro. Nimeona kimyaa, kimyaa hadi imekuwa kero au...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Alishindwa kuwaeleza wananchi ukweli badala yake aliwaeleza CCM na serekali yake ilivyo saidia wananchi wa South Africa zimbabwe , jinsi gani tumewapa hifadhi hapa sasa mwanachi analilia na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Watanzania ndugu zangu, hebu tufikiri kwa makini juu ya hatma yetu. Mambo mengi yanatuzidia sasa mfumuko wa bei, huduma mbovu ya afya, elimu duni, miundombinu mibovu, maji, kunyang'anywa ardhi...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Mh Mbunge, Sisi wapiga kura wako wa Ubungo, hasa maeneo ya Plaza na Ubungo NHC, tunakuletea kilio chetu cha ubovu usiomithilika wa barabara za mitaani. Ni kwamba, Shirika la Hifadhi ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mjomba (Sioi) natanguliza pole na samahani zakutosha sana kwako mjomba nasikitika sana kila nikiamini kwamba uliacha kazi ili uje kupata kazi ikadunda sasa una kazi ya kutafuta tena kazi kwasababu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau heshima mbele, Nimekuwa nikifuatilia siku za hivi karibuni siasa za kenya, nimegundua kwamba wenzetu hawa bado wana ugonjwa mkubwa wa Ukabila. Inakusudiwa kuwa ifikapo 2015 EA takuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwinyi alianzisha mtindo wa hovyo wa Ruksa ambapo wezi wachache waliutumia kuuibia umma. Rejea kashfa ya Loliondo.Mkapa alianzisha mtindo wa kuutetea ufisadi wazi wazi kwa kuuliza nani si fisadi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ushindi wa CHADEMA pale Arumeru umekuwa gumzo.Waonekana kama goli la kujifunga.Si hivyo.Ni ushindi wa sera dhidi ya hela.Ni ushindi wa ukombozi dhidi ya ujambazi na matanuzi.Hakuna sababu kuu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tarehe 18 March 2012,wiki moja baada ya kuanza rasmi kampeni za uchaguzi wa Arumeru Mashariki,na baada kuangalia mwenendo wa kampeni hizo,nilisukumwa na dhamira yangu kuanzisha ,hapa JF, thread...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
04 APRIL 2012 Na Anneth Kagenda MASHAHIDI wa utetezi upande wa Jamuhuri wamekiri mbele ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kufanya kosa la kisheria kwa kutosaini fomu za matokeo katika vituo...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Inawezekana huu mwaka wa 2012 ndio mwisho wa Ben Mkapa kisiasa na hata ndio mwanzo wa kuporomoka kwa umaarufu na heshima miongoni wa Watanzania..,Ben Mkapa ulikuwa mwiba mkali uliowashinda...
10 Reactions
46 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Leganga, juzi ambapo Mbunge Mteule wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ccm Arumeru wameamua kujivua gamba na kusema siyoi hakuwa chaguo lao. Mi najiuliza lilikuwa la nani? Jk, EL,Deadstone, chimpanzee........ Au Source Mwananchi Wakati hayo yakijiri gazeti la...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom