Has anyone got more details on the mafia money laundering in Tanzania investment scheme being uncovered in Italy at the moment by the political party "Lega Nord" ?.... wenzetu Italy watufafanulie...
Tanzania ni kati ya nchi Afrika zinazoheshimika, kwa kutoa fursa sawa kwa wote katika jamii kuanzia wanawake,walemavu na watu mbali mbali katika suala zima la uongozi serikalini...!
Mfano.Ashymaar...
Leo nimebahatika kutembelea Arusha mjini katika sehemu moja mitaa ya Mihanzini nilikuwa na jamaa zangu tukipata vinywaji na kutafakari mambo tofauti. Katika maongezi yetu tulijadili kwa muda mrefu...
04 APRIL 2012
SEKRETARIETI ya Tanzania Labour Party (TLP) imemchagua Bw. Micah Mrindoko, kuwa mgombea ubunge wa Afrika Masharika.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
Ni jukumu la kila mtanzania mwenye uelewa kuhamasisha watanzania wenzake kujiandikisha ama 'ku-update' taarifa zao pindi tume itakapotangaza marekebisho ya daftari la wapiga kura. Naamini kwamba...
John Mnyika > John John MNYIKA
Nakutana na wafanyabiashara ndogo ndogo (wamachinga)
walioondolewa eneo la Ubungo. Nipo na Diwani wa Kata ya
Ubungo, Boniface katika ofisi ya Serikali za Mitaa...
ameanza kwa kumtaja mungu kuwa walianza na Mungu na sasa wamemaliza na Mungu, wako waliomtukana kuwa hajaoa lakini wameru wakampa kura kwa kuwa haendi kusuluhisha kesi za ndoa, wako waliosema yeye...
Ndugu Nassari, wakati El akihutubia mkutano wa kampeni alisema maneno haya, wananchi wamchague sioi ili awaongoze wabunge wa Arusha kwenda kumuona waziri wa ardhi Pro.Anna Tibaijuka kwa kuwa yeye...
Wadau wenzangu binafsi naona hizi ni Sifa ua Tabia za hivi Vyama vya Siasa (CCM, CHADEMA)
CCM
1. Waheshimiwa wabunge wao wanapenda kutukana watu
2. Sera za Chama ni Matusi
3. Viraza wengi
4...
Nimeona hii picha katika "kitabupicha" cha Ndugu Mhonga Ruhwanya inaelekea Azimio la Arusha ni sera ya Chadema baada ya kuachwa na Chama cha Matusi (CCM).
wakuu nilitaka kufahmu hatua za kuchukua sisi wapigania uhuru wa tanzania dhidi ya wapola demokrasia waliyojaribu kupenyeza vituo hewa hamsini(50) kule narumeru kumbukeni chadema wasingekuwa...
WAKATI Watanzania katika maeneo mengi wakilalamikia ukosefu wa dawa, imebainika kuwa dawa zenye
thamani ya Sh bilioni 4.7 zilizonunuliwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii zimeharibika...
Akihojiwa na radio moja mkoani Arusha jana, katibu wenezi wa ccm mkoa wa Arusha Bw. Semi Kiondo, amesema ushindi wa CDM jimbo la Arumeru Mashariki ni sawa na mtu aliyeokota pochi. akifafanua zaidi...
Dalili zilionekana pale ambapo nilikoma kukuona humu JF. Hata hivyo ndiyo ukubwa huo ndugu yangu. Nafikiri kushindwa huku kunakufanya ukae chini na kubuni mbinu nzuri zaidi. Naamini kutokea hivi...
Katika mkutano wa leo mbowe ametoboa siri ya mafanikio ya CHADEMA kuwa ni umoja walionao katika uongozi wao huku wabunge wao wakiwa tayari kutumika katika ujenzi wa chama hicho. Amewaomba wameru...
Habari zenu wana JF, leo tuangalie Biashara ya kununua Shahada za kupigia kura iliyofanywa na CCM ilitoa mchango gani kwa ushindi wa Chadema. Tupia mchango wenu hapa. Natanguliza shukrani
Kama hutaweza kuona vizuri picha hizi ni kwamba zimepigwa mara mbili. Moja ni Benjamin Mkapa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Josephat Kiboko Nyerere, huku pembeni yake akiwepo Anne...
Mimi siamini Kushindwa kwa CCM ilikuwa bahati mbaya., bali kuna Maswali mengi sana ya kujiuliza kwanini hakuweza kufurukuta ikizingatiwa kwenye uchaguzi mwaka 2010.,Baba ake alipita hata bila ya...
Kambi ya wale wanaojiita wapambanaji dhidi ya ufisadi ndani ya chama tawala cha CCM imepata pigo kubwa kufuatia matokeo ya uchaguzi wa ubunge jimbo la Arumeru mashariki na chaguzi za udiwani...
By Nova Kambota
Tanzanians can still flash back what took place in 2008 when Edward Lowassa declared his resignation in Dodoma telling the public that after serious mediation and deep...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.