Wengi wajiunga Chadema Baada ya Ushindi Arumeru

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Jamani uchaguzi wa Arumeru umekuwa pigo kubwa kwa CCM na neema kwa chadema. Kuna watu wengi nilikuwa nawajua ni wana CCM wabishi kweli ila wamebadilika bwana. Wanasema upepo huu wa mabadiliko hatuwezi kuuzuia. Nashauri Chadema wakati wanapita nchi nzima kwa operation changia katiba, wafungue matawi, hawasisheni sana watu, anza kuwaandaa wanachadema kushika nchi 2015. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
ushindi 2015 ni lazima hata bila kufungua matawi. Wananchi wamechoka na hizi siasa za kulindana wanataka mabadiliko. Tuwepe moyo na kuzidi kuwaombea viongozi wetu wa CDM ili tuweze kuwakabidhi Ikulu 2012. hakuna wakuzuia hilo.
 
ushindi 2015 ni lazima hata bila kufungua matawi. Wananchi wamechoka na hizi siasa za kulindana wanataka mabadiliko. Tuwepe moyo na kuzidi kuwaombea viongozi wetu wa CDM ili tuweze kuwakabidhi Ikulu 2012. hakuna wakuzuia hilo.
Matawi mhimu mkuu!! Tunahitaji kura zote zitakazopigwa ziende sehemu husika!!
 
Matawi mhimu mkuu!! Tunahitaji kura zote zitakazopigwa ziende sehemu husika!!

Mimi nakaa Arusha mjini nafanya kazi USA-RIVER, nilikuwepo kwenye mkutano wa liganga,this is the best moment for freedom,ningewashauri makamanda walioko mjengoni Dodoma,waakikishe ofisi zao za majimboni zinafanya kazi,kama alivosema Nassari kwamba ataajiri katibu wake kwenye ofisi ya jimbo ili wananchi wapeleke kero zao na mbunge Nassari kuyafanyia kazi,na hata ikiwezekana wawe na sub-offices kwenye kila kata,mtachukua nchi hii 2015 makamanda wenzangu.
 
It is obvious that CDM is going to take the reign, no way CCM gonna do anything because no more thinking, but majungu is their sera.
 
Let us be wary not to start another precedence of irresponsible institute co's some men are going to crossover from junky ccm
 
Let us be wary not to start another precedence of irresponsible institute co's some men are going to crossover from junky ccm
Wana CCM si wabaya ila wabaya ni viongozi wao. Hata ukimleta Lowassa Cdm kulivyo na nidhamu atadhibitiwa tu
 
Tupo pamoja vijana tuongeze nguvu kuwaombea makamanda wetu wa chadema, fully revolution is near vijana tusichoke. mwanzo mwisho up to 2015 mzigo wetu.
 
Ni nani huyo mkuu?
Ni mwanachama wa CDM aliyepotea baada ya kukwaruzana na Beno pale Tripple A, haijulikani alipo hadi leo, labda kama ameshapatikana wanajamvi watatupa habari. Inasikitisha sana, ila yana mwisho.
 
lusinde au mtu wake wa karibu ukiona hii habari kampe swali hili

Lusinde wana Arumeru wamekudhibitishia kati ya viongozi wa CHADEMA na wa ccmchoo nani wa kike?

na CHADEMA kama BABA anashangilia kuzaliwa kwa mtoto JOSHUA NASARI hongereni nyie wa kike ccm

kwa kuzaa poleni kwa uchungu.
na iwe fundisho watu wanahitaji sera sio matusi na pia wape hongera wazazi wako kukupeleka chuo cha matusi
bahatimbaya hawakukuelekeza sehem ya kuyatumia na kwa watu gani ujue yamekurudi

nalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani kwa nguvu zote matusi uliyoyatoa Lusinde na iwe laana kwako kwa kutokuzingatia umri kwa uliowatukana na pia wasikilizaji waliokuwepo idadi yao ndio iwe ndio mara laana ulaaaaaaaaaaaaaaaaaniwe Lusinde.
 
Back
Top Bottom