"Ng'wana Sweke wa JF amwaga machozi juu ya kukatwa mapanga kwa wabunge wa CDM.

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Kada huyo maarufu na kiongozi(siyo jina halisi) wa CHADEMA jijini Mwanza amekuwa akishindwa kudhibiti hisia zake na kuangua kilio kila anapofuatwa na watu wanaomufahamu wakitaka maoni yake juu ya kujeruhiwa kwa mapanga, wabunge wa CHADEMA:Highnes Kiwia-Ilemela na Salvatory Machemuli-Ukerewe.

Kada huyo alishirikiana na viongozi hao kwa kila hali...Mwanzo mwisho...kuhakikisha kata ya Kirumba jijini Mwanza inaendelea kuwa chini ya diwani wa CHADEMA.

...Pole sana Kamanda...

Source“...Maswahiba wake wakaribu”.. sana
 
Katika mapambano kama haya ya kutafuata ukombozi wa pili kwa watanzania, maumivu hayaepukiki, tena muda huu tunapambana na wamatumbi wenzetu ambao ni waroho wa madaraka, wako tayari kuwaua wamatumbi wenzao ili tu wabakie madarakani.

Kamanda Ng'wana Sweke pole sana, piga moyo konde na kwakuwa wabunge wetu hali zao zinaendelea vizuri, wewe endelea kupambana na manyang'au ya magamba hatimaye tutachukua uongozi wa nchi hii, mwaka 2015 hauko mbali tuendeleze harakati tu watanzania wameshatukubali.
 
Wabunge wenyewe waaliokatwa mapanga wamekuwa majasiri hawajamwaga machozi, Ng'wana Sweke, analia hataweza kweli mapambano!
 
wabunge wenyewe waaliokatwa mapanga wamekuwa majasiri hawajamwaga machozi, ng'wana sweke, analia hataweza kweli mapambano!

mkuu kunavilio vingine watu wanalilia chooni au chumbani bwana!
 
Back
Top Bottom