Pongezi za dhati zimwendee Kampeni manager wa chadema Arumeru mashariki ndugu Vincent Kiboko Nyerere kwa kazi nzuri! Mbinu zako hatimaye zimezaa matunda! Viva Chadema!
'Hakimu wa Demokrasia' Waheshimiwa Wapiga kura Walalahoi wa nchi hii tayari wameshatoa hukumu kwa kukipa ushindi mnono CHADEMA kule Arumeru Mashariki, Mbeya, Songea na Mwanza, je nani tena wa kutupinga??
Enyi MAFISADI wote pamoja na chama CCM eleweni hili vema na kwa uwazi wake wote, ukweli wote ni kwamba; Moto mkubwa wa mabadiliko sasa kutembezwa katika kila kitongoji na kila lango Tanzania kwa mtindo ambao haujapata kuonekana katika historia ya nchi hii ... na safari sasa inaendelea ...
... WaTanzania sote TUMESHAAMUA kwamba mambo yote ya ukombozi wa MTANZANIA kuondokana na MAFISADI ni kwa CHADEMA.
Sasa MKAPA atakutambua kua wewe ni damu ya mwl NYERERE alidhani siasa za majitaka wajinga km.......bado wanaziendekeza....ARUMERU wamaiba kura lakini hazikutosha sijui wataweka wapi sura zao maana timu nzima ya mafisadi wa CCM na nyimbo zao ili watu waje kwenye kampeni hazikuzaaa matunda....TBC nyie siku zote mlikua mnaonesha habari za CCM leo vipi mtautangaza huu ushindi wa kishindo? Badilikeni kwani TBC ni mali ya TAIFA mnazidiwa na STAR TV ambaye mmiliki wake ni kada wa CCM.......
Hongera sana Vicent Kiboko Nyerere binafsi nilipata kusikiliza campain zako wkt wa uchaguzi mkuu Msoma mjini,hakika kwa sasa nakiri kuwa wewe ni mtaji mkubwa sana wa kisiasa Cdm,
sasa mzee mkapa ataheshimu vijana na sasa ni wakati wake wa kuondoka jumla na kuachana na siasa za kiuendawazimu za ccm kwa heshima ya uzee wake,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.