Uongozi wa Nasari unaashiria neema.

Naytsory

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
2,192
791
Je, mvua kubwa iliyoanza kunyesha mara baada ya kutangazwa ushindi wa Nasari ni ishara ya neema katika kipindi cha uongozi wake?
 
Na neema imeendelea kushika kasi pale waliokuwa hawana maji wanapoona visima vikichimbwa immediately baada ya uchaguzi!
 
"UNAULIZA SENENE KWENYE FRIJI YA RWAKATARE" ngoja aje KIFUBA KYA ITAHWA na kakae KASHAIJABUTEGE utajuta leo Kwikwiiiiiiiiii! HIYO NI NEEMA KWA WAPIGA KURA WAKE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom