Opereheni ondoa CCM Tanzania

kibai

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
202
52
I was thinking that it is now hi time we eliminate CCM as a party and replace it with CDM. Sababu tunayo, nia tunayo na uwezo tunao. Kila mtu aliyeguswa na udhalim huu na akasikia uchungu aandike hapa jinsi gani tunainua CDM kiuchumi na kiutawala ili 2015 tuseme bas umaskini wa kujitakia kwa kuikumbabtia CCM. Mimi napendekeza CDM waanze miradi ya kuelimisha wananchi ubaya wa CCM na sisi tuchangie chama, kwanza pata Kadi na changia hata Kama million mia Kama sabodo.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom