kodi ya maskini itachezewe kwahili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kodi ya maskini itachezewe kwahili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mshana org, Apr 5, 2012.

 1. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  kutokana naamuz yaliyochukuliwa na mahakama kuu ya arusha kumuengua lema inaamaana kua ndani ya siku tisini tume yauchaguzi inatakiwa itangaze uchaguzi mwingine swali serikali ye2 inapata fhedha za kuendeshea kampeni kamahizi?je wanategemea hili jimbo linaenda nje nachadema kama wanavyotaka?ninachokiona tutaiabisha mahakama na serikali hiyosiku yakupiga kura itakapofika.kinachoniuma nikwakua najua hela itakayotumiwa na magamba kwenye uchaguzi ninyingi alafu nikodi zetu ndizo zitakazotumika hapa.ila wataisoma namba tanzania bila magamba inawezekana.tulianza na mungu tutamaliza namungu
   
Loading...