poleni WANACHADEMA na WATANZANIA KWA UJUMLA

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,498
605
  • :shock: WANACHADEMA poleni sana kwa kipindi hiki kigumu kwetu kwani magamba wameamua kuzima furaha yetu ghafla,kinachotakiwa kipindi hiki ni kutulia na kutafakari kuwa nini kifanyike ili tuweze kulinyakua tena hili jimbo,na kwa taarifa niliyopata wanampango wa kumsimamisha ole millya dhidi ya lema,mungu ibariki CHADEMA mungu ibariki TZ,na siku zote haki haishushwi,ila inapiganiwa



 
Back
Top Bottom