Tumchangieni Mh Lema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumchangieni Mh Lema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bangoo, Apr 5, 2012.

 1. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wapenzi wote wa chadema na wapenda mageuzi wote waTanzania tuwe tayari kumchangia lema garama za kesi. Je mko tayari?.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Too Early to talk about this!...u never know, huenda aka'file rufaa je?
  Imetangazwa kuwa wakuu wote wa chama wanakaa kama chama, then tamko/maamuzi ya pamoja yatatolewa jioni ya leo
   
 3. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,862
  Likes Received: 1,303
  Trophy Points: 280
  Namshukuru Mungu kwa
  kila jambo. Umma utaamua
  na utashinda. Daima
  hushinda!
   
 4. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  je atagombea tena au hukumu imekazia asigombee tena?
   
 5. Kesho Uanzia Leo

  Kesho Uanzia Leo Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba ufafanuzi kidogo je kuna nafasi ya Lema Kugombea tena kwenye uchaguzi utakaoitishwa?
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hukumu imemruhusu agombee
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,819
  Likes Received: 36,933
  Trophy Points: 280

  hukumu imeruhusu Lema kugombea.
   
 8. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,862
  Likes Received: 1,303
  Trophy Points: 280
  Kaandika kupitia mtandao wa facebook saa moja imepita.
   
 9. mmeku

  mmeku Member

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaap mahakama haijamzuia kugombea kwa mara nyingine tena.

  ana haki ya kugombea tena kwa sababu mahakama imetengua ubunge wake kwa sababu ya kutumia lugha chafu wakati wakampeni na wala si kwa wizi wala ruswa

  haki itasimaa daima... kamwe mtu hawezi kukimbia kivuli chake. viVa CDM
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Usiogope Usiogope,mambo kama arumeru kipigo cha mwizi tu.
   
 11. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ccm ******* na mahakama zao!
   
 12. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Atashinda kwa nguvu za Mungu
   
 13. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tupo tayari....chadema watupe mwongozo namna ya kumchangia......
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  lete Data zote na kiasi gani kinatakiwa
  kichangwe. halafu andika thread yenye maelezo
  zaidi na si mstari mmoja tu .. Nimeshuhuhudia na nimekusanya
  michango kutoka kwa wana JF kumsaidi mtu ambae hata hakuwa
  member hapa. Na ni wengi sana walijitokeza na kumsaidia ...

  Ila watu watahitaji maelezo zaidi ya mstari mmoja..
  Asante.. Easter njema.
   
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  najua jimbo tunalichukua tena! nimehumia sana! lakin ndugu yangu lema ushindi pale pale
   
 16. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hizi ghalama za kesi zikoje?

  Ukishindwa kesi kama hukuianzisha pia unalipa?
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  Apr 5, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Nna hasira sana ha hawa CCM, Chama kushika hatamu ni historia tupo kwenye haki sawa. CCM WEZI WA MALI YA UMMA
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hukumu imemruhusu agombee
   
 19. S

  SI unit JF-Expert Member

  #19
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  .
  Na kwa nguvu ya uma
   
 20. R

  Richruge Member

  #20
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Lema atasimama tema, kinachonisikitisha ni kwamba CCM wanazidi kujichimbia kaburi maana pale hawawezi kupita isipokuwa wanajiletea matatizo mengi sana
   
Loading...