Tumelinda kura Arumeru, Je uchaguzi wa 2015 tutaweza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumelinda kura Arumeru, Je uchaguzi wa 2015 tutaweza?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sema Chilo, Apr 5, 2012.

 1. Sema Chilo

  Sema Chilo JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 324
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa ujumla ushindi wa Chadema haukuwa rahisi kwani wenzetu wana kila aina ya mbinu za wizi. Na tulikuwa tunaomba muda wa kupiga kura umalizike haraka, zaidi wakati wa kujumlisha hali pia ilikuwa ni tata mpaka usiku wa manane na hatimaye tukashinda. Kwa hali niliyoiona mimi Je tutaweza kulinda kura za nchi nzima mwaka 2015?
   
 2. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Together we can!!!!!!!!!!

  Hakuna ambacho kitatushinda.....nakuhakikishia tukashirikiana kutoa elimu ya uraia, wananchi sasa hivi wako tayari kwa lolote, kama ccm wanataka pasitawalike, wachakachue matokeo ya 2015
   
Loading...