Utekelezaji wa ahadi za CHADEMA waanza rasmi huko Arumeru

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
katika hali inayotafsiriwa kuwa chadema wamejipanga katika kuleta mabadiliko katika jimbo la arumeru mashariki,utekelezaji wa ahadi za mbunge mteule kutoka cdm bw. Joshua nassari umeanza rasmi hata kabla ya kuapishwa kwake.
Taarifa zilizonifikia kutoka kwa wakazi wa meru ni kuwa visima vya maji vimeanza kuchimbwa.

Nadhani nape nnauye anahitaji kupata taarifa hii kutokana na ushauri alioutoa kwa cdm.

Hongera josh nassari!
 
Sasa hivi watu hapa Dar wameamua (kwa hiari) kuwa kuanzia leo wanaitwa 'Nassari'. wanasema kijana kaangusha mbuyu lol!

Ha ha haaa! Sio watu Dar ninao wafahamu. Mbona Dar ni ubinafsi uliopitiliza na ndiyo maana sio chachu ya mabadiliko!!!!!
 
Twende kaz makamanda!Nawakubali kwa maneno na vitendo.Joshua Nassari n mfano wa kuigwa.
 
Joshua Nassar Alikua na Sera Kal km Ya Yohana M,batizaj Iliyosema :SAUT YA MTU ALIAE NYIKAN ITENGENEZEN NJIA YA BWANA YANYOOSHEN MAPITO YAKE!hvyohvyo WanaCDM 2jipange kutengeneza na kutatua matatizo ya Wana Arumeru na Majimbo yote tuliyonyakua Ushind!CHADEMA HOYEEEEEEE....
 
tatizo la dar mna maneno mengi matendo hafifu.jifunzeni kutoka arusha.
Tatizo lingine la watu wa Dar, akili zao zimeshikwa na viongozi wa dini, utashangaa siku ya uchaguzi ******** inaona ibada ndio kitu cha umuhimu kuliko kupiga kura, tatizo lingine ni muingiliano wa makabila tatizo la mwisho kabisa watu wa Dar wanathamini sana pombe kuliko kitu kingine.
 
Tatizo lingine la watu wa Dar, akili zao zimeshikwa na viongozi wa dini, utashangaa siku ya uchaguzi ******* inaona ibada ndio kitu cha umuhimu kuliko kupiga kura, tatizo lingine ni muingiliano wa makabila tatizo la mwisho kabisa watu wa Dar wanathamini sana pombe kuliko kitu kingine.

mkuu hakuna wapenda dini kama wameru.waliwahi kupigana kwa sababu ya dini.
Pia hakuna wanywaji wa bia kama arusha.
Dar ni tatizo!
 
mkuu hakuna wapenda dini kama wameru.wa.iwahi kupigana kwa sababu ya dini.
Pia hakuna wanywaji wa bia kama arusha.
Dar ni tatizo!
Meru unaweza kwenda na buku Bar na ukarudi umelewa?.......
Mkuu nimezaliwa Dar na nawafahamu vyema watu wa Dar, mbunge wa Ilala Musa Zungu katibu wake kazi yake kubwa ni kufuatilia Jimboni ni nyumba gani ina msiba ili Zungu apeleke turubai viti, ubwabwa na ubani wa shillingi 50,000/= basi, hivyo ukitaka kushindana na Zungu Ilala una kazi ya ziada.
Lakini msife moyo jimbo la Segerea litakuwa wazi na tutafanya maamuzi kama ambayo tuliyafanya awali kabla hili Jambazi Makongoro Mahanga alijakwiba kura zetu, na kuonesha kwamba Mungu si Athumani na wala si Mwamedi Makongoro amepatwa na stroke last week.
 
.....ila inafaa kutoa elimu kuhusu kazi ya Mbunge, ndio maana watu wanaona bora kuchagua mafisadi wakidhani kuwa watatumia fedha zao binafsi kutatua matatizo yao ya kila siku. Wanaamka mapema kupanga foleni ya kuomba misaada, wanatoa magari kwenye misiba na ubani ndio yanaishia hapo, akina Abood, Mohd Dewji, Lowassa, Chenge et al....
 
Back
Top Bottom