Picha: CCM wapata mgombea Arusha Mjini kabla ya kipenga cha NEC

Status
Not open for further replies.

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
2,500
Huyu ndie mgombea wa CCM wa ubunge jimbo la Arusha. Anaitwa Namelok Edward Sokoine. Kwa mtaji huu, Lowassa camp vitani tena kumnadi! Sokoine.jpg
 
yaani hata hafahamiki town bora hata Dr. Toure au Felix Mrema huyu hata viti maalum alibebwa
 
Huyo dada asubiri kugombea Monduli kwa Lowassa 2015 huko anaweza kumshinda Lowassa kura za maoni.
 
Arusha..msituangushe fanye kweli muwaonyesha TZ nzima kwamba ccm haina chao...wazee na wote kwa ujumla shime!!!
 
Kwani Sioi ulimfahamu kabla???

ndo mana hakushinda unafkiri Meru angekuwa Sarakikya ingekuwa rahisi kihivo huyu Namalok hata kina Kimbele walimtoa jasho viti maalum hadi akataftiwa mbeleko si bora hata ungesema kina Tojo mama vidole sita au kina big sisters ila sio huyu mrugaruga wa siasa
 
yaani hata hafahamiki town bora hata Dr. Toure au Felix Mrema huyu hata viti maalum alibebwa

CCM Arusha hata wakimuleta nani awe anafahamika au hafamiki jimbo linaenda chadema mara nyingine.Mungu yupo siku zote na wale wanaochukia dhuluma na kupenda haki.
 
Yani EL amefikia hatua hii ya kuwanadi watoto wa Marehemu Sokoine?

Ama kweli mafisadi hawanaga adabu hata lepe!
Acha amlete avune anachopanda kudadeki!

Viva CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO!!
 
Huyo Namelok alshaambiwa awe na subira mpaka hapo Lowasa atakapompisha jimbo la Monduli
 
Huyu alimsaidia Sioi kule Arumeru akashindwa kama wanataka kuiainisha hiyo familia ya Sokoine wamlete tu!
 
mr.amekwenda likizo atarudi baada ya uchaguzi hatuna wasiwasi chadema daima arusha town
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom