Hukumu itaamliwaje bil | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hukumu itaamliwaje bil

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tikatika, Apr 5, 2012.

 1. tikatika

  tikatika JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,671
  Likes Received: 2,205
  Trophy Points: 280
  Kesi imeisha mahakamani hukumu ya mwisho iko kwa wananchi. Je itaamliwaje bila mlalamikaji?
  Kumbuka tangu kesi ifunguliwe waliokuwa bize na kesi ni wapambe .
  Mwenyewe alishajua amesbindwa kihalali na aliye mtuma akamzawadia ubaloz kama Nina kumbu kumbu nzuri hapa Kenya ! Swali wana Jf Atarud arusha kuja kutafuta uwaziri!
  kama harud atajibu VIP tuhuma alizo mtuhumu Lema had kumvua ubunge ? Akija m2 mwingine hukumu kwa wananchi itaangukia kwa nani?
  Kumbuka baadhi ya mashitaka ilikuwa kuhusu jinsia,! Dini,! Vitu ambavyo ni vya m2 binafsi na chama!
   
 2. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  hii ishu ina mkono wa mizengwe pinda
   
 3. mamaWILLE

  mamaWILLE Senior Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nipo arusha na leo nimejitahidi kutembelea maeneo mbalimbali ktk mji wa arusha. Ukweli ni kwamba watu wote wanajua kuwa lema anaonewa kwani wanadai toka kawa mbunge kila cku ni misukosuko toka serikalini. Ni kweli wana wa arusha wanasema hasira zao serikari itazijua cku ya kuhesabu kula kama utafanyika uchaguz mwingine
   
Loading...