Chadema kuweni na subira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kuweni na subira

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAFILILI, Apr 5, 2012.

 1. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,915
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  Wanachama na wafuasi wa CHADEMA siku zote muwe wavumilivu katika siasa ni kawaida kwenye furaha na huzuni. CCM ni wakomavu, Arumeru Mashariki tumelalia pua, tukasema OK. Nyie mkawa na furaha,leo mahakama imemweka kando Lema kwa muda mnaanza kutoa maneno yasiyo na busara.

  Kaeni chini mjipange, siasa ndivyo ilivyo; MAHAKAMA ni chombo huru na hakina undugu na CCM. Hakuna sababu za msingi kuwashushia lawama majaji na mahakimu, LEMA amevuna alichopanda. Leo ni manyunyu, mvua ya elnino itawakuta wakati wa uchaguzi mdogo.
   
 2. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,319
  Likes Received: 840
  Trophy Points: 280
  Kitakachotekea ni Lema hata hudhuria kikao cha Bunge cha keshokutwa. Lakini Kikao cha BUDGET atakuwa ndani ya mjengo mpaka hapo upo!!!!!!!!!!

  Kwa Arusha ccm hamna chenu tena !!!!!!!!!!
   
 3. s

  scathbert JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna uvumilivu pasipokuwepo haki .acha ukuda
   
 4. P

  Paul2 Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumechoka kuvumilia,haki lazima itafutwe kwa hali na mali peoplessssss powerrrrrrrrrrrrr
   
 5. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Umetumwa?Na kama ni hvyo umeangukia pua.Dawa yako ni m4c only!
   
 6. E

  Emma Kayanda Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cku zote haki ya m2 haipotei bali hucheleweshwa LEMA atarejea tena kwa ridhaa ya wananchi democratically!
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nilipenda sana slogan ya mwaka huu ya
  The Rock kwenye wrestlemania 28.

  "Boots to ASSES"
   
 8. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hivi Nani anayesema wewe kuwa Jaji na unakuwa! si ni baba RIZ!! haya kuna kesi mahakani inayotakiwa kutolewa hukumu lakini kwa kuwa aliyekwambiua kuwa jaji katika kesi hiyo ana maslahi nayo akikuagiza tengua hukumu utakataa!! sasa usomi wa Jaji aliyetengua ubunge wa Lema unaishia kwenye nyayo za baba RIZ! sasa uhuru wa mahakama unasema labda mahakama ya babako.
   
 9. STK ONE

  STK ONE JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pengine wewe hata siyo mkazi wa ARUSHA, na inawezekana umetoka usingizini. Kwa akili zake za KIMAGAMBA, unaona jimbo la ARUSHA litarudi ccm????? NGOJA TUONE.......SIYO MUDA MREFU......
   
 10. P

  Ptz JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Nina hasira na Magamba!
   
 11. J

  J.o.s.e.p.h Member

  #11
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ng'ombe wewe!!!
   
 12. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  dada mafilili pole na aibu ya arumeru mashariki karibu kwenye msiba wa ccm arusha mjini.
  naomba kukuuliza ni kina nani ccm watapiga kampeni za ccm arusha?
  ni mgombea gani atasimama?
  je serikali imeshatenga hizo hela za kuchezea arusha mjini?
  wanaarusha wana subiri pilao na hela ila kanga na fulana waambie wasilete kwani huku tuna gwanda za kutosha.
   
 13. D

  Davie Member

  #13
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ......mahakama ni chombo huru....? Labda unafurahia kwa kuwa ni chombo cha ccm...
  But wont last for long..
  Kwa akili yako mwenyewe unaona umeandika kitu cha maana...
   
 14. Makete Kwetu

  Makete Kwetu JF-Expert Member

  #14
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  sikuelewi hapo unaota nini?
   
Loading...