Mahakama za sasa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahakama za sasa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasimba G, Apr 5, 2012.

 1. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 571
  Trophy Points: 280
  Wakati mfumo wa vyama vingi unaanza, kulikuwa na mwamko wa namna Fulani uliopelekea hata mabadirioi katika mahakama zetu. Kuna kesi nyingi tata zilitafutiwa ufumbuzi kwa kimtazamo wa sheria pamoja na publick interest, kesi kama ya Mtikila, Mgombea binafsi e.t.c.

  Kwa wakati huu, mambo yanabadirika taratibu, tunarudi katika kipindi cha zamani ambacho Administrators ndio wenye kila kitu, bunge, mahakama, na chama kushika hatamu! Kesi ya lema ilikuwa na publick intrest kiasi cha kuwa watu wengi, being lawyers na publick kwa ujumla tuliifuatilia kwa kina, sijaona bado hukumu lakini kama report tulizipata! Kama hukumu ndio hiyo there must be a mistake somewhere!

  Unajua kesi za publick interest watu wa kariba mbalimbali hufuatilia, inatakiwa hukumu ya jinsi hiyohiyo ya publick! Nina wasiwasi na mahakama zetu siku hizi, ila Waangalie You might be in for a while! Why cant you be in for ever? That the rest of the generations will remember how the Mortal you have been, Why cant we avoid the cheap things?
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Nahisi Mwl Nyerere ni kama alikuwa jirani yangu au ndugu yangu wa karibu, nahisi pia ni mzee tunaefahamiana sana.Kiongozi wa sasa na familia yake sio tu kuwa simfahamu yawezekana anaishi mbinguni,haiwezekani asiwe na ufahamu wowote kuhusu nchi yake ilipo na inaelekea wapi,zaidi ya yote yupo kimya tu nahodha gani huyu
  "Kila mtu anastahili kufanya kazi lakini si kila kazi inastahili kufanywa na kila mtu,hasa hii kazi ya UHAKIMU" Mwl Nyerere, kwa maneno haya ndipo ninapoiona busara na hekima kuu aliyokuwa nayo mtu huyu,Viongozi wa leo wanashindwa kabisa kuiga mfano huu
   
Loading...