Kwa ninavyoijua arusha ccm itarajie aibu nyingine na muanguko kama walioupata arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa ninavyoijua arusha ccm itarajie aibu nyingine na muanguko kama walioupata arumeru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by massai, Apr 5, 2012.

 1. m

  massai JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wafuatiliaji wa mambo ya siasa dhahiri wataona kua sisiemu ni aibu tu na kupoteza imani wa kwa wapiga kura wake ndicho watakachokipata arusha.hii inadhihirisha ni kwa mamna gani wamepoteza dira na muelekeo katika kuliongoza taifa.kwa harakaharaka ukiangalia mtu wa kumsimamisha kuchuana na wa upande wa chadema utaona ni kwa namna gani walivyochemka.hawana mtu mbadala wa kuwaokoa katika aibu inayoendelea kuwatafuna,maneno mengi sana yanasemwa hapa mwanza kila mtu anaongea lwake alakini kikubwa lawama zote ni kwa serikali ilivyoshindwa kutawala na badala yake inaingilia uhuru wa mahakama na kupokonya raia wake haki yao ya kujiona wana upande wa kuwatetea yaani mahakama.kitendo kingine ni cha ikulu kutoa ufafanuzi haraka kufuatia mbunge alie enguliwa kusena jaji amepewa maelekezo ya kutoa hukumu kutoka ikulu.hata uwe mjinga kiasi gani lazima uta tia shaka kuhusu hilo la ikulu,ni marangapi watu wanapoteza maisha au tamko linasubiriwa kutoka ikulu alafu hakuna tamko lolote?kweli mambo mengine kwenye dunia hii yanatokeaga tanzania tu.
   
Loading...