Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakemea wanasiasa kutumia matusi majukwaani Wasema usikivu, umakini wapungua kwa viongozi Askofu Msaidizi Eusebius Nzigirwa wa Kanisa katoliki la St Joseph, jijini Dar es Salaam, akitoa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa M Kiti wa CDM Mhe Freman Mbowe, CDM itatoa kauli rasmi jumamosi hii, kama kitakata rufaa au kitakubali maamuzi ya mahakama. Hii inatokana na kwamba kukubali uamuzi wa mahakama...
5 Reactions
329 Replies
25K Views
Na Sitta Tumma, Mwanza MBUNGE wa Musoma Mjini, Vincent Nyerere (CHADEMA), amezidi kumkaba koo Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, safari hii akitaka kiongozi huyo aondolewe pensheni...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
nikiwa nina haki kikatiba.ya kuchagua kiongozi ama mimi mwenyewe kuchaguliwa kama kiongozi, nina nia ya kuchukua form 2015.endapo chama changu kitaridhia cv yangu.na kunipitisha kupeperusha...
1 Reactions
78 Replies
7K Views
Lowasa amzidi jk katika maadhimisho ya sikuu ya maulid.ahudhuria mkesha jk akwepa!
0 Reactions
121 Replies
11K Views
  • Closed
Sheria ya marekebisho ya katiba mpya inapendekeza kamati ya tume iwe na majina 30, 15 toka pande zote mbili. Inavyoonekana Zanzibar kama nchi inawakilishwa na wajumbe 15, Serikali ya Jamhuri ya...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Namwona mwenyekiti wa kamati ya Hesabu za serikali mh John Cheyo anatoka mapovu akilia na serikali inajipangia bajeti itakavyo na matumizi makubwa nje ya yaliyopitishwa na bunge na hakuna sheria...
0 Reactions
2 Replies
755 Views
Mtazamo wa Mbowe kupinga hukumu ya Lema ili kuepusha Gharama za uchaguzi mdogo zaidi ya 19bils ni sahihi.Tatizo ni NCCR wanamshinikiza spika
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Taarifa Ya Kikao Kijacho Cha Bunge KIAPO CHA UTII KWA WABUNGE WAPYA: Kwa mujibu wa masharti ya Kanuni ya 24(1) ya Kanuni za Bunge, toleo la 2007 kutakuwa na Kiapo cha Utii kwa Wabunge...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Najua JF ni kisima cha kumbukumbu, Natafuta tarehe ambayo Juliu Nyerere aliachia ngazi unyekekiti wa CCM. Pia na tarehe ambayo NEC-CCM ilikaa huko Zanzibar na kulifuta Azimio la Arusha. Nataka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Maoni yangu katika katiba mpya kuwepo na kipengele kitakachoongelea uhuru wa mbunge. Katika uhuru huo pamoja na mambo mengine itamkwe wazi kwamba mbunge ana uhuru wa kwenda chama chochote na bado...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Waziri membe anazomewa na halaiki ya watu huku. Sheba 19:08 Today By Mzizi wa Mbuyu: Waziri membe anazomewa na halaiki ya watu huku
0 Reactions
106 Replies
10K Views
Viongozi wa vyama vya siasa hasa pinzani watoe uhuru mpana kwa wanao taka kugombea nafasi zao kwani inaonekana watu wakijitokeza kiongozi anaona kama anapodwa madaraka hali madaraka ni dhamana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inanikera sana na watanzania pia wanakereka na kuumizwa na hizi safari za kila siku za raisi.ninachojiuliza ni nini kazi ya waziri wa mambo ya nje ikiwa kilasiku raisi kiguu na njia.au ndio...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nipo Kiwira sasa na nimepata nafasi ya kukutana na watu walionusa harufu ya mabomu ya machozi wiki iliyopita katika uchaguzi mdogo wa udiwani ulioipa CDM ushindi wa kishindo. Nimepata habari...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Tukiwa kama watanzania tuna haki ya kusifu mchango wa mtu au kundi kufulani, tunakubali mchango wa cdm ndani na nje ya bunge lakini hapa jf zikiwekwa post ya kumzunumzia mtu muhimu na makini kama...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Diwani wa CCM kata ya Mpwapwa amefariki huko India aikoenda kwa matibabu, amefariki usiku wa kuamkia leo baada ya kupigana na ugonjwa wa ini uliopelekea figo zake kufeli kabisa. Huko India alienda...
4 Reactions
53 Replies
6K Views
Wana ukombozi,inasikitisha juu ya hili jimbo lililopakana na ndugu zetu wa Kenya wenye msisimuko wa kimageuzi ya fikra.Jimbo hili watu wake bado wanaamini wafanyabiashara mbumbumu wasio na uwezo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana JF, Umeme una manufaa makubwa kwa maisha ya kila siku kwa binadamu na endapo kukawa na ukosefu au mgawo wa umeme, kutakuwa na madhara makubwa kwa kuwa umeme unatumika viwandani, hospitalini...
0 Reactions
1 Replies
946 Views
TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea kuchambua wasifu wa wajumbe walioteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba...
5 Reactions
104 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…