Historia ya CCM Njombe kufutika kabla ya 2014 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Historia ya CCM Njombe kufutika kabla ya 2014

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by lutondwe, Apr 9, 2012.

 1. l

  lutondwe Senior Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 150
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kamanda mkuu wa jeshi la CHADEMA mkoa mpya wa Njombe akishirikiana na kamanda Nyagawa(Lutondwe).Amedhamiria kuhakikisha ifikapo 2014 jina la CCM linabaki historia katika mkoa mpya wa Njombe.Kamanda huyo ambaye anafanya kazi ya kueneza chama usiku na mchana katika mkoa mpya wa Njombe tayari amefungua zaidi ya matawi 180 ndani ya mwaka mmoja na anatarajia kuendelea kufungua matawa katika kata zote za mkoa huo.Jumamosi na jumapili ya tarehe 14.4.2012 na 15.4.2012 ataongoza kikosi cha maangamizi katika tarafa ya Lupembe,eneo ambalo linaongozwa na mbunge aliyeandika historia ya kuingia bungeni kwa elimu ya K.K.K.
  Mikutano ya mwishoni mwa wiki itaanza katika kijiji cha Madeke mpakani na Morogoro,Mfiriga na Igombola.Siku ya jumapili ya tarehe 15 atakuwa Lupembe barazani na Matembwe.
  Kwa kuwa ni wakati mwafaka wa kuleta mabadiliko katika nchi yetu,mheshimiwa Nyimbo anawaomba wazalendo wote duniani kute kujitokeza ili kuleta ukombozi wa kweli na uhuru wa kweli.
   
 2. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mwalimi!hiyo ndiyo kazi inayotakiwa,nachelea kusema kwa Njombe mabadiliko yatakwenda kasi na standards kwa CDM na si kwa CCM.
   
 3. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  mtu ukiwa strategic huna haja ya kumwaga siri za frontline hapa. FANYA KWELI, matokeo tutayaona na yataandikwa sana tu.
   
 4. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  pamoja saana! Ila ccm isiuwawe, kwa vile inatakiwa ije ione utawala wa CHADEMA 2015 utakuwaje!
   
 5. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Njombe wamechoka ahadi za miaka 50
   
 6. S

  Shiefl Senior Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ndiyo kazi inayotakiwa kufanywa na siyo kusubiri viongozi wa kitaifa waje wawazindue watu isingizini. Kila mtu afanye kazi yake kama inavyotakiwa kuanzia sasa na kuendelea.
   
 7. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Ila kuna kamanda magumashi sana hapo hasa huyo NYAGAWA [LUTONDWE] sina iman naye kabisaaaaa? sijui lakan?
   
 8. K

  Keil JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Bongo hakuna siasa za siri labda zile za CCM tu. Sheria na taratibu zinavitaka vyama vya siasa vikifanya mikutano ya wazi vitoe taarifa kwa uongozi wa eneo husika. Mikutano ya hadhara haina siri maana ni zama za kuwaamsha wananchi na kuwaonyesha kwamba pia kuna vyama vingine vina exist.

  Strategy za siri haziwezi kufanya kazi kwa chama ambacho hakina mtandao, wanaoendesha strategy za siri mara nyingi huwatumia mabalozi na wanachama wake kwa kuendesha mikutano ya ndani. Huko Njombe CHADEMA haina wanachama wengi wa kufanya mikutano ya ndani, ndio kwanza wanafanya kazi ya ku-recruit wanachama, kufungua matawi na kusimika viongozi wa maeneo husika.
   
 9. t

  tweve JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  huna imani kwanini? maana wana njombe wana mwamini ,sasa wewe unayeishi dsm humwamini kwa lipi?
  :heh:
   
 10. p

  pembe JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 2,058
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Wakati ni sasa wana CDM wote viongozi amkeni jitoeni mhanga kuwaelimisha wananchi namna ya kujiletea maendeleo, tukianzia elimu bora, afya bora na uchapakazi mbele kwa mbele. Njombe hongereni na onyesheni njia kwa mikoa mingine.
   
 11. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamanda Nyimbo ameleta uhai mkubwa wa CHADEMA ndani ya wilaya mpya ya Wanging'ombe baada ya kufungua matawi ktk vijiji vyote na sasa anaendelea ktk wilaya nyingine za mkoa mpya wa Njombe vijiji vingi nilivyopita wameahidi Chadema kuwa watasimamisha wagombea ktk uchaguzi wa serikali za mitaa hivo kuizika CCM mapema zaidi kabla ya 2015
   
 12. K

  Kadedi Member

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongereni wapiganaji mkoa wa N jombe fikeni na Makete jamani
   
 13. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  LUTONDWE ALISHAWAHI KUTUSALITI CHADEMA 2005 NA ALIKULA HELA ZA CCM ILI KUMUACHA MZEE MPUMBAVU MAKWETA ACHUKUWE JIMBO. Njombe tunahitaji vijana machachari lakin sio lutondwe, njombe nilahisi sana kuchukuliwa na CDM lakin c chini ya lutondwe.
   
 14. E

  ESAM JF-Expert Member

  #14
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Nawatakia kila la heri kwani kila mtu anayeipenda Tanzania angependa watanzania wengi zaidi waondokane na CCM kwani imeshindwa kuleta maemnedeleo stahiki kwa miaka 50
   
 15. g

  greenstar JF-Expert Member

  #15
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  baadaye sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......Njombe ni CCM 100%...Nyimbo alikuwa mbunge kwa miaka 10 bila kuleta maendeleo yoyote zaidi ya matusi na dharau kwa utajiri wa KIFISADI na madawa ya kulevya .Leo hii anawadanganya wananjombe anataka kuleta maendeleo? maendeleo yapi aliyoshindwa kufanya enzi za UBUNGE? huyu hana utofauti na Jambazi kuvaa joho na biblia mkononi ili apate mwanya wakuhujumu uchumi.....NJOMBE haidanganyiki tena,labda NYIMBO asiwepo kwenye CHAMA hicho.
   
 16. kilght

  kilght JF-Expert Member

  #16
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 626
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  MUNGU awalinde makamnda
   
 17. a

  ardhi New Member

  #17
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwendo huohuo
   
 18. l

  lutondwe Senior Member

  #18
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 150
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kamanda,Lutondwe,siyo issue kabisa.Njombe kuna majimbo matatu,je,huyo Bwana anataka kugombea yote?Hivi ni rahisi kula za watu kama unavyofikiri?Acha siasa za chuki.Unaboa sana.Acha kuongelea mambo usiyoyajua pamoja na kumlaumu mzee wa watu Makweta mbona huyo wa kabila lako wa darasa la pili husemi kitu?   
 19. M

  Msayo Member

  #19
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hongereni sana makamanda wetu huko Njombe. Huko vijijini naamini ni muda muafaka kupeleka elimu hasa ukizingatia ndugu zetu wanarubuniwa sana na hao CCM ukikiribia muda wa uchaguzi. Tupo pamoja makamanda.
   
 20. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #20
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa aliwahi kumdondosha Makweta kwenye uchaguzi halafu jamaa wakampa hela akakubali kushindwa while ameshinda. Imani inabakia kwenye kujenga chama ila kugombea ubunge imani na Lutondwe imetoweka kabisa. Big up nyimbo, mkoa mpya chama kipya na itikadi mpya. Viva CDM
   
Loading...