Mkakati wa kuwavua ubunge wabunge wa CHADEMA wafichuliwa

ithangaledi

Member
Jun 4, 2011
84
57
Heri ya Pasaka wana JF,
Kuna mkakati maalumu wa kuwavua ubunge wabunge wengine wanne wa CDM, lengo ni moja tu kupunguza nguvu ya chama.
Ni wazi kuwa kesi zote za wabunge wa CDM wamepewa majaji ambao sio waozefu na ndio wameteuliwa juzijuzi, kwa hyo wana maagizo maalumu kutoka ikulu.
Wabunge wanaotajwa kuvuliwa kwa vyovyote vile ni Lissu ambaye pamoja na mashahidi wa upande wa wadai kushindwa kuthibisha madai bado Jaji anashinikiza kesi iendelee.
Mwingine ni Mnyika ambae Jaji Upendo Msuya ameonyesha kuwa tayar ana yake kichwani kwa sababu yy na mdai ni marafiki sana na pia hata wakili wa upande wa wadai wamewahi kufanya kazi pamoja na Jaji. Lingine kubwa ni kuwa Jaji huyo ni kilaza sana kwenye kesi za uchaguzi na hana hukumu hata moja ya mambo hayo.
Opulikwa wa meatu na Mbasa wa Biharamulo pia wanatajwa kuwa wanavuliwa Ubunge.
Lengo: Lissu, Mnyika na Lema hawatakiwi kuwepo Bungeni wakati wa katiba mpya kutokana na misimamo yao
Source: watu waaminifu kwenye system
 
Wananchi itabidi tuandamane kuipinga mahakama sasa. Kama wasimamizi wa uchaguzi wanaboronga na kuwapora wagombea na hatimaye kuwaambia walalamikaji waende mahakamani, na mahakamani wanasema ukate rufaa. Tutaenda hadi wapi?
 
Wadhubutu waone kama hatujawatia vyuma kwenye masaburi yao
 
Heri ya Pasaka wana JF,
Kuna mkakati maalumu wa kuwavua ubunge wabunge wengine wanne wa CDM, lengo ni moja tu kupunguza nguvu ya chama.
Ni wazi kuwa kesi zote za wabunge wa CDM wamepewa majaji ambao sio waozefu na ndio wameteuliwa juzijuzi, kwa hyo wana maagizo maalumu kutoka ikulu.
Wabunge wanaotajwa kuvuliwa kwa vyovyote vile ni Lissu ambaye pamoja na mashahidi wa upande wa wadai kushindwa kuthibisha madai bado Jaji anashinikiza kesi iendelee.
Mwingine ni Mnyika ambae Jaji Upendo Msuya ameonyesha kuwa tayar ana yake kichwani kwa sababu yy na mdai ni marafiki sana na pia hata wakili wa upande wa wadai wamewahi kufanya kazi pamoja na Jaji. Lingine kubwa ni kuwa Jaji huyo ni kilaza sana kwenye kesi za uchaguzi na hana hukumu hata moja ya mambo hayo.
Opulikwa wa meatu na Mbasa wa Biharamulo pia wanatajwa kuwa wanavuliwa Ubunge.
Lengo: Lissu, Mnyika na Lema hawatakiwi kuwepo Bungeni wakati wa katiba mpya kutokana na misimamo yao
Source: watu waaminifu kwenye system

Wakati wao wanahangaika mkakati wa kuwapunguza wabunge wa CDM, kwa upande mwingine wananchi kwa kushurikiana na CDM wamekamilisha mkakati wa kuiondoa CCM madarakani kabla ya 2015 kama hawaamini wajaribu kuowaongeza Lisu, Mnyika na kama wawili kutoka kanda ya ziwa kwenye list ya wabunge wa wananchi kama Lema.....

Kazi itakuwa imeisha.
 
Kila siku nasema hakuna kinachoshinda nguvu ya umma!
Mungu yu pamoja nasi,tuungane, popote pale tutaushinda huu ubadhirifu wa hawa mafedhuli/mafisadi!!
 
Hivi wa-TZ hatuna uwezo wa kukemea haya? Huu sasa utakuwa upumbavu! Tunaomba apatikane mwehu kama Mtikila muda ukifika tuingie barabarani!
 
sasa kama majaji inasemekana wanapata maagizo kutoka juu,na hawa watakaosimamia rufaa ya lema si ndio walewale tu?au hawa wanatoka wapi?
 
Kuna ukweli ndani yke hawa majaji wanateuliwa tu bila kuwa na uzoefu.mfano Bukuku,Mugashwa,mujuluzi(advocate anapewa ujaji!) hta dk.Fauz twaibu. Nadhani jk anateua watu kea kulipa fadhila!.Huyu ****** hajali kabisa vetting za viongozi au watendaji wa juu serikalini thats nchi haiendi mbele.
 
Ifike mahali ccm wawe smart katika mikakati yao hiyo michafu kwa maana kuna wakati itafika Jk na washirika wake watashindwa hata kutoka nje.
 
Katika harakati zozote zile, unapoona matatizo yameongezeka ujue/utambue kitu kimoja, mafanikio yako karibu! ongeza juhudi kumalizia kazi. Kwa CDM hii ni dalili nzuri sana maana ndiyo itasaidia kurahisisha kazi huko mbeleni.
 
Ni imani yangu kuwa Mungu kaamua kuwaacha magamba watumie mahakama kuhujumu haki za wapambanaji wetu ili kurahisisha ukombozi wa tanganyika yetu, Mi ntafurahi endapo wote hao watavuliwa sasa ndipo utakuwa ndio mwanzo mkubwa wa harakati za kuwang'oa hawa wezi na wachawi wakubwa(CCM).
 
Back
Top Bottom