Ni kutokufahamu au muheshimiwa alipitiwa??

sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,283
976
Waheshmiwa wanajf..
Kipindi cha bunge na mkutano wa kwanza ndo umeanza leo mjini Dodoma. Jambo la kunisikitisha ni pale mh.spika alipowaita wabunge wapya wawili akiwemo ambaye jina lake kwangu rahisi mh.Nassari, na wote kutokuwepo mwanzoni mwa kikao au hawapo kabisa. Je wamelala bado, je wamechelewa au hawakujulishwa kwamba wataapishwa leo?

Uamuzi wa spika ni kwamba wataapishwa siku nyingne itakayopangwa na kamati ya uongozi.. Je itakuwa lini, ni mwisho wa vikao, mwanzo au katika.. Je wabunge hao hao watahudhuria vikao? Na je posho inakuwaje..

Heshima kwenu jf.
Mbumbumbu mwenye akili
 
katika mkutano wa kusherehekea ushindi wa nassari na pia katika mkutano wa hadhara kuhusu hukumu ya lema ambayo yote nilihudhuria nassari alisema kwa mujibu wa ratiba ataapishwa tar 11 saa 3 asubuhi na alisema kwa anaetaka kumsindikiza dodoma leo(j4) ajiandikishe kwenye offisi ya chadema wilaya..nadhani mkanganyiko huu ni hujuma za magamba
 
Its a question of time! Hawatakaa wameukalia ukweli siku zote, iko siku chupi zitawabana si-mbali,karibu,
 
Waheshmiwa wanajf..
Kipindi cha bunge na mkutano wa kwanza ndo umeanza leo mjini Dodoma. Jambo la kunisikitisha ni pale mh.spika alipowaita wabunge wapya wawili akiwemo ambaye jina lake kwangu rahisi mh.Nassari, na wote kutokuwepo mwanzoni mwa kikao au hawapo kabisa. Je wamelala bado, je wamechelewa au hawakujulishwa kwamba wataapishwa leo?

Uamuzi wa spika ni kwamba wataapishwa siku nyingne itakayopangwa na kamati ya uongozi.. Je itakuwa lini, ni mwisho wa vikao, mwanzo au katika.. Je wabunge hao hao watahudhuria vikao? Na je posho inakuwaje..

Heshima kwenu jf.
Mbumbumbu mwenye akili

Hata wangefanyaje,its too late.Hapo target yao ni Nassari ili ionekane hafuati ratiba then waseme ni mbunge asiyejali muda.Nassari amepewa baraka zote na wana Arumeru,coz hata kweny kampeni zake hajawahi kuchelewa wala kukosa mkutano.Itakuwa bungeni tena ambako anatumia mafuta ya serikali? SPIKA ajipange,hiyo mashine nyingine.
 
Back
Top Bottom