Raisi Kikwete kupangua baraza la mawaziri hivi karibuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raisi Kikwete kupangua baraza la mawaziri hivi karibuni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lsk, Apr 10, 2012.

 1. L

  Lsk Senior Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Raisi Kikwete anatazamamiwa kupangua baraza lake la mawaziri hivi karibuni. Habari nilizozipata toka chanzo cha moja kwa moja toka ikulu ya Magogoni zinasema:katika panguapangua yake mawaziri na manaibu-waziri wengi wa Baraza lililopo sasa watahamishwa na wengi zaidi wataondolewa kwenye Baraza. Katika panguapangua hii inasema mawaziri wengi ambao ni Pro-Lowasa watatemwa kwenye hilo Baraza jipya linalotegemewa kutangazwa hivi karibuni.
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwa sababu hujaweka kama tetesi nadhani chanzo chako ni cha uhakika. Tunasubiri kuona nini kitajiri.
   
 3. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nasikia unakuwa PM. Hongera mkuu!!!
   
 4. Stanley.

  Stanley. JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwa hali ilivyosasa wabunge na mawaziri wanaangalia upepo unavumia wapi! Hata ukiwatoa pro lowassa watakaochaguliwa watakuwa pro- kwa wengine wanaoonekana kutaka urais. Hawawezi kuwa tena pro kikwete kwa vile wanaangalia maslahi ya kisiasa ya baadaye.
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kigezo cha pro lowasa ni cha kipuuz,pia kuhamisha wale waliochemka ni uzuzu mwingne
   
 6. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Anasubiri mei 2, hukumu ya mahanga
   
 7. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  U p_m angempa mwanri jampo mi sio magamba angeikongoja serikali iloshindwa kazi.INGEKUWA MI NDO LOWASSA NINGEACHANA NA NDOTO ZA URAIS.hajachoka 2 huyu mnyea nyumba za ibada?
   
 8. M

  Murukulazo JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 576
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  yetu ni macho na masikio....
   
 9. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kama angekuwa rais wa Zenji hapo ningeamini lakini huyu mwimba taarabu hakuna kitu
   
 10. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  The same old story!!
   
 11. a

  akelu kungisi Senior Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli atakuwa amewakuna mno Watanzania. Kama ningekuwa Raisi wa kwanza kuondolewa wangekuwa mawaziri wa wizara ya nishati ya madini wote wawili( Adam Malima na Ngeleja), hawa wamepwaya hawafai kwa kuwa wamepewa nafasi ya kujisahihisha lakini wameonyesha hawawezi, nafasi hii ampe dogo January Makamba. Then aende pale afya awaondoe Nkya na boss wake, baadaya hapo amuondoe mzee Pinda kwa kuwa hana msimamo ktk kauli zake
   
 12. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Twangoja Dr Asha Rose Migiro atie timu kwanza ndo tuanze kupangua Baraza!
   
 13. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  makamba aanze na unaibu waziri
   
 14. senior citizen

  senior citizen Member

  #14
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aangalie na ma DC kuna sehemu mtu yupo toka 2006 mpaka leo!
   
 15. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #15
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kwani Asha Rose amerudi? Ukimuona huyu mama ametia timu hapa bongo ujue sasa jamaa atapangua wapambe wake!!
   
 16. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #16
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  na kuna sehemu dc anakaimu wilaya mbili. mfano rugimbana ni dc kinondoni na ni kaimu dc ilala na temeke
   
 17. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #17
  Apr 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Porojo tu
   
 18. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #18
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Unataka January Makamba achukue nafasi ya Ngeleja ili akatuibie alipe deni la U.S. $ millioni moja alizokopeshwa na shemeji yake za ubunge wa kumuondoa Shellukindo? Sasa kama unasema jamaa atawaondoa pro- Lowassa ,halafu unapendekeza January Makamba hujui kuwa huyu nae ni kijifisadi kadogo by affiliation through Mzee Yusuf ambae yuko na hao mafisadi!!
   
 19. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #19
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Kupangua baraza la mawaziri ni haki yake kikatiba! Lakini kufanya hivyo kwa ajili ya Lowassa, ni mwendelezo ule ule wa makundi ndani ya chama chake. Akumbuke John Shibuda alimtahadharisha kuwa ccm itamfia mikononi mwake. Tusubiri tuone, hao vilaza watakaotoswa kutoka kundi kubwa la vilaza wa ccm.
   
 20. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #20
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hadi Migiro arudi kujenga nchi yake. jinga kubwa Tzdz bana.
   
Loading...