Hii nchi ina waziri wa mambo ya nje kweli??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii nchi ina waziri wa mambo ya nje kweli???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Olele kibaoni, Apr 9, 2012.

 1. O

  Olele kibaoni Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama jibu ni ndio mbona raisi kila kukicha yupo safarini??au anatumia profesion yake??au waziri alie mteua ni kilaza??
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Kwani jk alieleza sera gani atapoingia ikulu? Hakuna ya kutafuta wawekezaji?
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  waziri wa mambo ya nje si yeye mwenyewe mkulu!
   
 4. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Waziri wa mambo ya nje ni Mh. Jakaya Mrisho Kikwete...
   
 5. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  yupo , ila waziri wetu wa mambo ya nje amezidi mno kuwasikiliza waarabu kuliko watu wa western europe na USA. mpaka leo hajalaani syria kwa kuuwa raia zake bila sababu. Ila aliwahi kulaani Israel kwa kuwapiga wapalestina walipokuwa wanarusha maroketi ndani ya Israel. sasa kwa nini raisi ammind mtu kama huyo?

  kuna wakati alikwenda ktk sherehe za misri kutimiza miaka 60 ya uhuru wao kutoka uingereza. balozi wa misri alitumia masaa manne akilitukana matusi taifa la uingereza mbele ya waziri huyo bila ya waziri huyo kutoka katika sherehe. sasa wewe hapo unaona kitu gani?
   
 6. zeus

  zeus JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwenye harakati za kuboresha CV kwa ajili ya 2015,!
   
 7. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kama huna tatizo la mtindio wa akili basi unachanganya waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania na yule wa Uingereza au kudhani kwamba waziri wetu anastahili kucheza ngoma ya Uingereza. Halafu unachanganya kati ya kile walichofanya waisrael na syria. Yale ya Syria ni mambo ya ndani lakini yale ya Israel ni uvamizi ambao hata Security Council waliukemea. Mkikosa la kuongea hamuwezi kuangalia hata mikanda ya mwisho ya maigizo ya Kanumba kuliko kuropoka?
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ziara za Rais haizina Protocol kwahiyo hahitaji Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje; ni kama vile anakwenda Bagamoyo hachukui waziri wa mambo ya nje, ujue safari ni binafsi ya kusafisa macho na kujiendeleza mwenyewe; kwa kifupi haina manufaa kwa Taifa...
   
 9. m

  massai JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mwenye ufahamu zaidi atujuze zaidi jamani,lazima kuna tatizo sio bure kila kukicha yupo safarini,mbona hatusikii yeye akitembelewa kama anavyotembelea??na hata akitembelewa utakuta ni mijidikteta yenzake isiyo na mashiko kama museven.mwenye ufahamu atujuze jamani kuna kitu hapo lazima.
   
 10. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Membe yupo bize na urais
   
 11. K

  Koffie JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Unaweza kuthibitisha hili unalosema? Alikwambia anataka urais? Mbona mnakurupuka kama mmekunywa viroba? Itendeeni haki jamii forums kwa kuleta au kuweka nyuzi zenye mantiki.
   
 12. K

  Koffie JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sasa kama kuna kitu, basi wewe unayejua ndiyo utujuze, na si kuletaa mada hasi hapa usiyoijua mbele wala nyuma halafu unategemea tukujuze nini? Epuka matumizi ya viroba mida ya kazi chalii
   
 13. K

  Koffie JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 403
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nina mikanda lukuki ya Kanumba au hata Kingwendu naweza kuwapatia hawa jamaa wakazugazuga nayo wanapokuwa hawana la kufanya.
   
 14. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #14
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Hivi waziri wa mambo nje ni nani vile?
   
Loading...