I dare to say Lucy Nkya Hafai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I dare to say Lucy Nkya Hafai

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicholas, Apr 12, 2012.

 1. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Nadhubutu sema Dr.Lucy Nkya hafai.Hapo alipofikia ni uthibitisho kuwa CCM bado wana mfumo mbovu unaoweza fikisha watu wasio sahihi mahali wasipostahili.Dr. Lucy Nkya kwa historia na maisha anavyoyaendesha hakustahili ongoza chochote zaidi ya Faraja Trust Fund aliyoianzisha.Hata faraja nayo pia Hajaitendea haki.

  -Ana shida ya kukubali hali halisi,si honest player.
  -Anapenda revenge.
  -Haamini sana elimu yake.Pia kaushirikina anakapenda
  -Anapenda play a victim.Ni mwepesi kulia pale anapokosea na kukimbia kukabilina na tatizo.Huishia dai kuwa kafanyiwa hujuma .
  -Hana siri hata km inahusu watu muhimu na masuala Muhimu.
  -Anapenda chochea migogoro na hana uwezo wa kusuluhisha migogoro.
  -Hapendi mafanikio ya wengine.(hapendi ya wanawake wenzie, watoto wa wengine na hata ndugu zake).
  -Anawaona watu wote wanamchukia na wanahitaji msaada wake.
  -Hana uwezo wa kutenganisha Mambo ya familia, mambo yake na ndugu zake, mambo ya office yake ya Faraja Trust Fund na hata chuki zake kwa wanawake wengine waliofanikiwa.Mara nyingi huwezi tofautisha yeye na watoto wake,au wapambe wake ktk utendaji wa kiofisi.
  -Anadharau: Kuanzia kwa ndugu zake hata kwa viongozi wa kitaifa, bila kujali vyeo vyao, umri wao na hata msaada waliompatia.
  - Kwa vile amekuwa akishughulikia vichaa.basi kila mgonjwa anamwona kwa mtazamo huo.Kwa anayumwa kichwa kutokana na malaria akikutana na huyu mama kuna uwezekano akapewa dawa za vichaa.
  -HISTORIA yake ktk utumishi si njema sana,kunzia alivyoacha kazi Hospital ya mkoa, mahusiano yake na kikundi cha wanaoishi na virus vya ukimwi mororogo(WAVUMO) hadi wakajitenga kutoka Faraja Trust Fund baada ya kutokuwa na mahusiano mazuri kifedha na kiutawala.
  -HASHAURIKI NA WATU WENYE ELIMU NA UELEWA kwa vile anahofu inayompelekea kuon ni kama ushindani na huchukulia km personal attack.
  -ANA MATATIZO MAKUBWA SANA KIFAMILIA,KISAIKOLOGIA NA KIKAZI-Rais kuendelea mwacha ni kuleta shida mbaya zaidi ktk nchi ambayo tayari shida za wananchi ni kubwa,naye kuchanganya shida zake na za raia wenye uchungu ni kujenga tatizo ambalo halijulikani pa kulitatulia.Kati ya wanaomjua huyu mama wanashangaa kumowna bado yupo.Serikali imsaidie fufua office yake aliyoicha muda mrefu nakuwekeza ktk siasa.Naye akubali kuwa siasa za leo si hadithi wapigiwazo masikini wanaoomba chakula, ni siasa zenye changamoto. Km anajisikia vibaya kuwa kawekeza sana na hajapata returns, napenda mkumbusha kuwa ndoto yake ya kuwa waziri(si naibu teh teh) wa afya pia ni km imeshatimia na ni ushindi tosha.Km ataendelea fight ili akawapite wanawake wengine ambao wamekuwa mawaziri for a very long time na si mawaziri wadogo basi atakuwa akijiumiza mwenyewe.Namshauri akamalize matatizo madogomdogo yanayomzunguka ili kujijenga kifikra na kurudisha yale yote yaliyompa heshima miaka ya nyuma.
   
 2. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  naye ni kichaa.
   
 3. LUSEKELO ASUMILE

  LUSEKELO ASUMILE Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5
  Nikweli cmfahamu kwa kiwango ulicho nacho bt nasadiki maneno yako hasa nikilinganisha na speech yake kuhusu maswali muhimu ya fidia kwa wa2 waliowifiwa na ndg zao kutokana na mgomo utshangaa.Eti tutachunguza kama walikufa kwa magonjwa yao au mgomo what do u mean Lucy ninani anayekwend hospital kwa ugonjwa wa Dr./m2 mwingine kama cwake.
   
 4. M

  Matunyengule JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 701
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Vp tena kwani amekufanyaje? Si yaliisha jamani!! Kama kuna lolote kakufanyia ebu weka wazi tofauti na hayo maelezo mengiiii. Khaaaa!!
   
 5. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Yule mume wake alikuwa anafundisha mzumbe bado yupo, nakumbuka alikuwa mgonjwa wa akili
   
 6. Ontuzu

  Ontuzu Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 73
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  it sound personal
   
 7. M

  Matunyengule JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 701
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Likely.
   
 8. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Well, its not that personal. I dare to ask anyone to point any line that she/he thinks is personal and prove it. Things might sound personal because ,doubters have given her courage to stay rather than a courage to go and serve a day.Kwa wanaoendelea kula mkwanja uliopaswa kupewa mayatima na waathirika bado watamwona anashambuliwa kwani nao wameambukizwa tabia ya kuplay victim.
   
 9. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Well, its not that personal. I dare to ask anyone to point any line that she/he thinks is personal and prove it. Things might sound personal because ,doubters have given her courage to stay rather than a courage to go and serve a day.Kwa wanaoendelea kula mkwanja uliopaswa kupewa mayatima na waathirika wa virusi vya ukimwi bado watamwona anashambuliwa kwani nao wameambukizwa tabia ya kuplay victim.
   
 10. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Ahaaa kumbe ni muumini wa ile dhana kwamba kufa kufaana. My take: she has been promoted to the degree of her incompetence...
   
 11. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Ameni push niyaeleze?
   
 12. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  The only thing unaweza sema in public ni hiki, in private ni kuwa unapata huruma ya hela aliyoipoteza na matatizo yake binafsi . Pengine vinaweza kuwa vitu pekee wakuu wake wanamhurumia akitoswa atapata ugonjwa wa moyo.Vingine ni hisia zako.Kwa taarifa yako yeye ndio anapenda personal attacks.
   
 13. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  yes, uwezo wa mtu ni personal! niliwahi kumwona kwenye mkutano fulani ambao yeye alialikwa kama mmoja wa wasemaji kwa upande wa akina mama. kwa kweli alionesha uwezo finyu na ukilaza wa wazi kabisa. she is not intelligent at all. binafsi nilikatishwa nae tamaa pale pale na hajawahi kuni-prove wrong. hata hii sakata ya madaktari nioliona ni matokeo ya kile kile nilichowahi kukiona kwenye ule mkutano...ukilaza wake. nakubaliana na hoja kuwa kimfumo, CCM inaudhaifu ambapo watu wasio na uwezo wanaweza jipenyeza na kushika nafasi za juu wasizo stahili.
   
 14. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Few times unaweza muuliza swali ili kupata clarifications asi switch kwenda ktk attacking and defensive modes.
   
 15. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Je anayo sababu za kutotoka?Ingawa ni bora kwake kutoka kuliko kubaki .
   
 16. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  teh teh .....?? kwani maelezo yanasema alichomfanyia mtu au kwannini hastahili baki?May be ungempa huruma kwa kuyakanusha hayo maelezo..by the way msaada mkubwa ni kumshauri ajitoe tuu.Kwa manufaa yake na ya umma...POLEE UNAELEKEA UNAMHURUMIA KULIKO UNAVYOWAHURUMIA WATZ.NAYE ANAYO HURUMA KAMA WEWE?
   
 17. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  teh teh .....?? kwani maelezo yanasema alichomfanyia mtu au kwannini hastahili baki?May be ungempa huruma kwa kuyakanusha hayo maelezo..by the way msaada mkubwa ni kumshauri ajitoe tuu.Kwa manufaa yake na ya umma...POLEE UNAELEKEA UNAMHURUMIA KULIKO UNAVYOWAHURUMIA WATZ.NAYE ANAYO HURUMA KAMA WEWE?
   
Loading...