Je maneno haya ni wakati wake au bado tusubiri?

babalao 2

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
5,398
3,243
maneno haya ya baba wa taifa "ccm dhaifu itazaa serikali dhaifu" ni kweli maneno haya yametoa matokeo kwa sasa au bado tuko vizuri? makundi yalipo ndani ya ccm yanatafuna na serikali pia? tuelimishane hapa.
 
Tunechelewa sana kuyasema ndiyo maana yamegharimu taifa kwa kiwango kikubwa.
Leo hii unaambiwa deni la taifa limekua kwa 38% kutoka bil. 10 hadi bil.14 kwa muda wa miaka miwili, huku hakuna kinachoonekana kimefanyika kupitia kwenye deni hili. Inflation rate inatisha, kila unachokinunua unakilipia kodi which means taifa inaendeshwa kwa kodi za wananchi bila kutegemea misaada ya nje.
 
Back
Top Bottom