Ofa- Ofa ya kupunguza hasira juu ya viongozi wa kisiasa

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Kwa vile hatuwezi weka sanamu au hata michoro yao hapa zipigwe mawe na kila raia mwenye hasira.Kwa vile pia muda wa kuwatoa kwa kura bado.Mnaonaje tukipropose muweke jina (idadi ya mawe unataka piga picture yake, au viboko vingapi). Its funny and mind refreshing.


Format:
Jina: Nicholas
Idadi Fimbo: 200
Idadi ya mawe:1000
Mara ngapi kwa siku: 8
Suggestions: ahudhurie darasa la kupuza kuwa radical,3 times a day mpaka apone.

ANGALIZO:-muangalie pia haki za binadamu.teh teh
-Hii si poll
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom