Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

nimekutana na msafara wa Dr Bilal ukielekea KIA. Taarifa zinasema amefanya ziara ya ghafla jijini arusha.nafuatilia sababu ya ziara hiyo nikipata nitawajuza. Kwa mujibu wa ITV dr. Bilal...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Maana ukweli ni huu: Kwamba chama sicho chombo cha Serikali. Serikali ndicho chombo ambacho Chama hujaribu kutekeleza matakwa ya watu na kuyahudumia masilaha yao. Kwa hivyo ni wajibu wa chama...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Zamani nikiwa mtoto mdogo,nikiwa bado mwanafunzi wa shule ya msingi Mabatini.. Babangu alinipatia magazeti mara kwa mara, nipate kuyasoma na yeye akinisikiliza.. Leo nikiwa mtu mzima nagundua...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
, Apr 15th, 2012 Tanzania / Tanzania | Sunday, April 15th 2012 Makongoro Nyerere A tough battle to the East African Legislative Assembly started officially here yesterday as the relatives...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Najaribu kulifuatilia Bunge katika maswali na majibu...Umiliki wa hisa asilimia 100% za Tigo na Wageni ni la msingi. Suala la uuzwaji wa hisa za serikali(?) Kabla ya uchaguzi Mkuu 2005 Kinyamera...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
CHADEMA ilitoa hoja za msingi sana wakati wa Kampeni za Mwaka 2010 na zikakubalika na wananchi wa Tanzania. Mgombea Urais wakati huo MH: Willbroad Peter Slaa na wagombea wa nafasi za Udiwani na...
3 Reactions
204 Replies
21K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa muungano wetu una mapungufu makubwa japo watawala wetu wanaona kama dhambi mtu kutamka hili, lakini ukweli utabaki palepale. TANGANYIKA kwa muda mrefu imeonekana kama...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimesikia kwamba kuna mazishi ya Brigedia Jenerali Abdu Matinga's, saa nane mchana. Pahala - Mtoni Kijichi, Dar-es-salaam, Mizinga ya heshima itapigwa kama ilivyo taratibu. Hivyo wananchi wa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
It is often unbecoming for the strong to surrender to the weak for protection. But today, in Arusha something happened which refutes this outlook. I was shocked if not terribly astonished when I...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Thread hii ni kutokana na habari ya mwenyekiti wa UVCCM Arusha Bw.Millya kutangaza kujiondoa magamba. Tatizo la hawa jamaa wanao hama kutoka magamba ni kwamba mbona wanafanya hivyo tu pale wanapo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Na Said Njuki, Arusha MGOGORO ndani ya CCM Mkoa wa Arusha umeshika kasi mpya baada ya Kamati ya Usalama na Maadili na Kamati ya Siasa za chama hicho mkoa kudaiwa kumvua uanachama Mwenyekiti wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Walianza, chama cha wachaga, kikanda, kidini, sasa freemason, baadae cha whatever, bado wanachemsha tuu! Sasa hoja zimei
0 Reactions
2 Replies
978 Views
Nitapendekeza kufuta vyeo vya wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya na maafisa tarafa.vyeo hivi ni mzigo kwa serikali na vinaleta mgongano kiutendaji na ngazi nyingine,kwa mfano kuna mkuu wa wilaya na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ukiangalia hali ya upepo wa kisiasa nchini kwa sasa CDM wanakubalika saana haswa kwa vijana wa jinsia zote, hiii ni kwa sababu ya hali halisi ya maisha kwa mtanzania kwa sasa, lakini sio kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Madaktari walikumbana na nini Ikulu? vinara wa mgomo hatujawasikia tena, hata kwii hakuna. Mlitaka kuonana na Mkulu nyinyi wenyewe, vipi? tupeni mkasa wa huko, maana hii si kawaida. Kuna fununu...
1 Reactions
67 Replies
6K Views
Kwa kutokuruhusu maswala ya muungano yasizungumziwe naathubutu kusema Mchakato wa katiba mpya haututendei haki tanganyika kwa kuzingatia kuwa mpaka sasa wenzetu wa upande wa pili (Zanzibar) wana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mchakato wa uchaguzi wa Afrika Mashariki unaoendelea hivi sasa sio huru na wa haki hivyo Spika, Katibu wa Bunge na serikali wanapaswa kuchukua hatua za haraka kurekebisha kasoro zilizojitokeza ili...
20 Reactions
35 Replies
3K Views
RIDHIWANI Kikwete mtoto wa Rais Jakaya Kikwete ametajwa kuingilia na kuamua kuendesha siasa za Mkoa wa Arusha kwa kutumia ‘rimote Control' akiwa jijini Dar es Salaam. Katika mkutano wa leo...
1 Reactions
68 Replies
9K Views
Ni habari ya kusikitisha. Mbunge aanguka Bungeni Habel Chidawali,Dodoma MBUNGE wa Viti Maalumu (CUF), Clara Mwatuka jana aliugua ghafla na kukimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Dodoma kwa ajili ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa nini unakimbilia siasa? Nimesoma profile yako na kukuta wewe u mtaalamu wa mambo ya sukari.........kwa nini unaikimbia hii fani yako? Suala la sukari linaumiza vichwa vya watanzania na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom