Hutaki Unaacha-CCM Itapoteza majimbo yote kanda ya ziwa 2015!!!

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreatThinkers,
Hata uchaguzi ungefanyika leo CCM imezidi kujichafua,
Mikoa ya Kagera, Shinyanga,Mwanza, Geita, Simiyu na Mara inaonesha hali itakuwa ngumu sana kwa CCM kupata japo jimbo moja.
Kuna makund i ya vijana yanahamasisha vijijini hadi nashangaa, mwamko huu umetoka wapi?
Sleeping Giants nani kawaamsha usingizini?
Hali ni hii kanda ya ziwa, vipi Songea tujuzeni?
bongo lala kondoa/Dodoma inahitajika nguvu mpya nako hali ikoje?
Tanga ktk uchaguzi wa udiwani CCM ilikuwa ya 3, hii nayo imekaaje?
 
Naunga mkono hoja,CDM wamejipanga sana hawasubiri 2015,kwa kanda ya ziwa magamba imekula kwao,mzee Msuya aliwaambia kuikosa kanda ya ziwa ni anguko kubwa kwa ccm,nashauri CDM waongeze nguvu Tanga,Mtwara,Lindi,DSM,Morogoro na Dodoma bila kusahau Tabora
 
Leo nilikuwa Hororo Tanga kwa kazi zangu za mawasiliano ya cm nikawa napata tea ktk kibanda kimoja na zikaja story za siasa wale w'ke nikawachallenge kwa jinsi gani wanachelewesha mapinduzi ya nchi hii kwa kuipenda Ccm .wakasema nisiwakashifu kwa jinsi wanavyøona mbali 015 waimwage ccm wamesema hawadanganyiki tena.nami nijatoa elimu ya uraia kila mtu anatamani afike .15 ashuhudie anguko kuu la ccm
 
CHADEMA wana mathematician wa ukweli, siyo hawa magamba, zanzibar 1,000,000=tanganyika42,000,000, Tunakomaa na kanda ya ziwa, nyanda za juu kusini, kaskazini, na mwamko wake utaambukiza cheche za ukombozi hadi kwa wakwere. waache magamba wawakomalie lema na lisu, wakija shtuka!!! kama kanumba!!!
 
Mkuu Spencer, nina wasisi na akina-Nshomile kule Kagera. Hawa jamaa elimu yao haijawasaidia bado wameikumatia ccm, Nge hakubatiwi sijui hawa watu wa Kagera wanapata wapi ushujaa wa kuikumatia (Nge) ccm. Mbeya 2015 ccm tumetenga kuwaliwaza na wilaya za Chunya na Ileje tu.
 
Sasa Kamanda Lema atakuwa na kazi ya kumwangusha tembo kwa kidole tu, ngoja tumkabidhi chopa, aanze kazi rasmi!
Mtajuta kumwondoa kunako Ubunge...na rufaa mtakata nyie badala ya cdm, mtataka bora arudi kuwa Mbunge!....huh!
 
Cha msingi hapa cdm ikomae na elimu kwa raia.
Tunataka kuona 2015 ccm chali.
Then, tu-deal vizuri na mtoto wa rais ambaye amekuwa bilionea ndani ya muda mfupi wakati baba yake ni prezidaa, kwa hakika huyu mtoto wa rais lazima apande karandinga. Hata kama akiwa mbunge wa chalinze, chamoto atakiona.
 
GreatThinkers,
Hata uchaguzi ungefanyika leo CCM imezidi kujichafua,
Mikoa ya Kagera, Shinyanga,Mwanza, Geita, Simiyu na Mara inaonesha hali itakuwa ngumu sana kwa CCM kupata japo jimbo moja.
Kuna makund i ya vijana yanahamasisha vijijini hadi nashangaa, mwamko huu umetoka wapi?
Sleeping Giants nani kawaamsha usingizini?
Hali ni hii kanda ya ziwa, vipi Songea tujuzeni?
bongo lala kondoa/Dodoma inahitajika nguvu mpya nako hali ikoje?
Tanga ktk uchaguzi wa udiwani CCM ilikuwa ya 3, hii nayo imekaaje?

2015 hawatoki hawa CCM kwani dalili ishaonekana kama wanaelekeza pesa za Chama, Mafisadi, Nguvu ya TISS, JWTZ, POLISI, PCCB etc kwenye jimbo moja na bado wanashindwa kwa kura Nyingi mfano Arumeru.. Unategemea nini siku nchi nzima tukiwa kwenye uchaguzi...
 
Zabora utapata wanachama wengi sana..hongera sana kwa moyo wako!

Mkuu siamini kama comments zako ni hizi siku hizi, umeishiwa sana ni maneno mawili matatu tu, huna jipya umeishia kukosoa typing error! Hukuwa hivi huko nyuma, Hope majibu ya Daktari Nassari kule Arumeru yalikuwa ni HIV+ na unaishi kwa matumaini, bahasha noma
 
Mkuu Kagera wilaya za Ngara na Karagwe matokeo yalikuwa tata. So, nadhani Kagera ongelea zaidi Bukoba (rural & urban) pamoja na Muleba, wilaya zilizosalia zipo juu mkuu! Jimbo la Karagwe mabomu yalipigwa ili matokeo yatangazwe!
Mkuu Spencer, nina wasisi na akina-Nshomile kule Kagera. Hawa jamaa elimu yao haijawasaidia bado wameikumatia ccm, Nge hakubatiwi sijui hawa watu wa Kagera wanapata wapi ushujaa wa kuikumatia (Nge) ccm. Mbeya 2015 ccm tumetenga kuwaliwaza na wilaya za Chunya na Ileje tu.
 
Zabora utapata wanachama wengi sana..hongera sana kwa moyo wako!
Ukiona mpaka Magamba kama haya yanaweweseka basi ujuwe CCM kwishney......huyu tutusa badala ya kuchangia mada yeye anaangalia typing error ya mchangiaji!!
 
Mkuu siamini kama comments zako ni hizi siku hizi, umeishiwa sana ni maneno mawili matatu tu, huna jipya umeishia kukosoa typing error! Hukuwa hivi huko nyuma, Hope majibu ya Daktari Nassari kule Arumeru yalikuwa ni HIV+ na unaishi kwa matumaini, bahasha noma
Kuwa wa kiume....ukitaka kutukana tukana live, siyo kuandika kimafumbo!! Hapa hatuimbi taarabu
 
Ni mwezi sasa nilikuwa nafanya kazi na watu wa halmashauri, ajabu ni viongozi wa juu kabisa wamegeuka wapinzani na wao na CHADEMA damdam!wanalalamika kuingiliwa kimajukumu na Madiwani wa CCM wasio na elimu, wanatamani sana kufanya kazi na great thinkers wa CHADEMA. Sasa nimeelewa kwa nini CCM hawawataki ma DED kuratibu katiba mpya
 
Kama kuna mkoa huwa unanishangaza ni KAGERA hawa jamaa ni masifa ya bure tu huku mjini wakati mkoa wao ni miongoni mwa mikoa minne masikini hapa Tz,wameikumbatia ccm ,sijui wakoje usomi wenu haujawasaidia chochote!
 
Back
Top Bottom