Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Taarifa ya habari saa mbili, Nkamia akimwombea mwajiri wake wa zamani fedha toka serikali amesema TBC itafunga matangazo yake wakati wowote kuanzia sasa, akithibitsha hali hiyo amesema hawana...
13 Reactions
168 Replies
17K Views
Wakuu wote JF, heshima mbele sana you know! - Unajua hapa JF Kumkoma Nyani ndio our home, no matter what this is our sweet home it where we started our political inspirations, it is where we were...
9 Reactions
73 Replies
5K Views
Nimejitahidi kutafakari ni kwa namna gani Katiba mpya itatuletea mabadiliko ya kweli tunayoyataka, nimekosa majibu - na sidhani kama nitayapata. Fikra zangu zinanirejesha enzi za kudai Uhuru...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Hbr nilizonazo ni kwamba leo Rais Jk ametingatinga ndani ya Wilaya ya Longido na kugawa ng'ombe tajwa hapo juu,baada ya ile janga la ukame la miaka minne iliyopita na kuwaacha wafugaji wa wilaya...
0 Reactions
77 Replies
6K Views
Source Mwananchi Ramadhan Semtawa KASHFA ya uuzwaji wa kiwanja cha Serikali namba 10 kilichoko Barabara ya Nyerere, Dar es Salaam kwa Kampuni ya Mohamed Enterprises (MeTL), imemuweka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
- Pamoja na kwamba nipo kwenye Marathon za Ubunge wa EAC huku Dodoma, nimekuwa ninaufuatilia sana uchaguzi wa Jumuiya ya Wa-Tanzania DC Washington, lakini baada ya kufuatilia sana uwezo wa...
0 Reactions
72 Replies
7K Views
  • Closed
wakuu, kama kawaida, spika ana makinda amekataa mapendekezo yote yaliyopelekwa na wapinzani pursuant to EAC charter kuwa wabunge huchaguliwa kwa uwianao toka bunge la nchi husika. ameshilikia...
32 Reactions
138 Replies
11K Views
Kutokana na kesi inayomkabili Mbunge wa Segerea Mhe. Mahanga jana wakati akihitimisha mjadala wa muswada wa sheria kuhusu Mamlaka ya udhibiti wa mashirika ya hifadhi za jamii alijikuta...
1 Reactions
74 Replies
9K Views
Ndugu zangu, Sisi wa Kizazi Cha Azimio na wanyuma yetu bado tuna kumbukumbu ya ' Senema za Omo'. Mara moja kwa mwezi ' tabaka la Wafanyakazi' wengi wakiishi Ilala lilikuwa likionyeshwa filamu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa ulingo wa wanawake nchini, Mh. Anna Abdallah Mwenyekiti wa Ulingo wa Wanawake nchini, Anna Abdallah, amesema hakuna mgombea ubunge asiyetoa rushwa katika chaguzi, hali ambayo...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
JUMATATU, APRILI 16, 2012 05:42 NA BAKARI KIMWANGA, DAR ES SALAAM SURA ZA HABARI HII Mbowe amvaa Spika Makinda MREMA NAYE AIBUKA Habari Yote Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Kwa hali halisi ilivyo CHADEMA itashika madara 2015 mafisadi wapende wasipende na kwa uhakika zaidi Spika ajae ni Mabere Nyaucho Marando period.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Dr.Slaa Akiwa kwenye ziara ya Kujenga Chama shy amesema Kamati kuu ya ccm,imetuma waraka maalum kwa wakuu wa wilaya na mikoa yote nchini kuhusu katiba mpya wakielekeza juu ya yale mahitaji,na...
7 Reactions
141 Replies
13K Views
We dare say we are a free people? The Scourge of Corruption taking its toll on Tanzanians (and foreigners alike) By an Innocent Bystander The level of corruption in the Tanzania Police Force...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Posted on April 16, 2012 by zanzibaryetu Baraza la Katiba limemaliza amwamu yake ya utoaji wa elimu ya uraia juu ya katiba na huku baadhi ya wananchi wakiwa na maoni mbali mbali, picha hii ni...
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Ndugu wanaJf kama mnakumbuka baada ya sakata la kuvuliwa ubunge na mahakama katika hali ya mizengwe Mh.Lema alisema nafunga kwa siku saba. Na kama mnavyoona mkanganyiko ulioko Arusha ndani ya CCM...
8 Reactions
28 Replies
6K Views
Asema mfumo wa uchaguzi unachangia Mwenyekiti wa Ulingo wa Wanawake nchini, Anna Abdallah Mwenyekiti wa Ulingo wa Wanawake nchini, Anna Abdallah, amesema hakuna mgombea ubunge asiyetoa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza baada ya jimbo lenye utajiri mkubwa la ARUSHA kuangukia mikononi mwa chama cha upinzani CHADEMA serìkali ya ccm ilipata mshuko mkubwa mpaka kupelekea mwenyekiti wa ccm...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika hali isiyo ya kawaida madiwani wa Halmashauri ya wilaya Muleba huko Mkoa wa kagera wamegomea bajeti ya halmashauri hiyo hali iliyopelekea Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kulia mbele ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
rekodi ya iddi simba kwenye uongozi wa mashirika ni mbovujuzi juzi kuna tuhuma mbili zimeibuka zikimhusisha aliekuwa waziri wa viwanda ambae pia ni mwenyekiti wa wazee iddi simba na ufisadi katika...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom