Sasa karibia hoja tete zinaisha!

Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,428
2,609
Walianza, chama cha wachaga, kikanda, kidini, sasa freemason, baadae cha whatever, bado wanachemsha tuu! Sasa hoja zimei
 
Waliwatawala wa tz chini ya chama kimoja kipindi cha ndyo mzee wakajidanganya watz bongo zao zimeganda sasa mtanzania wa leo si lazima akukubalie unachosema
 
Hoja zikiisha kabisa itakuwa ngumi, wakimaliza mabomu harafu ndio wataachia nchi, hebu tuhesabu vijsiku vichache waende
 
Back
Top Bottom