rekodi ya iddi simba kwenye uongozi wa mashirika ni mbovujuzi juzi kuna tuhuma mbili zimeibuka zikimhusisha aliekuwa waziri wa viwanda ambae pia ni mwenyekiti wa wazee iddi simba na ufisadi katika...
Kuapishwa kwa tume ya kukusanya na kuratibu maoni juu ya katiba mpya kunaashiria kuanza rasmi kwa mchakato huo wa kupata katiba yetu mpya. Kuna watanzania wengi sana waliopo nje ya nchi kikazi...
EAST AFRICAN COURT OF JUSTICE
APPLICATION NO. 6 OF 2011
1. THE DEMOCRATIC PARTY
2. MUKASA FRED MBIDDE ]…………….APPLICANTS
VERSUS
1. THE SECRETARY GENERAL OF THE...
Mbunge wa Kitope ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kushoto) na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge wakielekea katika Ukumbi wa Bunge kuudhuria kikao cha...
Rais Jakaya Kikwete anayesifika kwa kupenda kuhudhuria misiba na kufanya ziara nje amekuwa kiongozi wa kwanza kati ya wanne watakaoshiriki mazishi ya rais wa zamani wa Malawi Bingu wa Mutharika...
kamati za bunge zinatimiza wajibu wake ipasavyo
juzi juzi katibu mkuu wa ccm ndugu wilson mukama aliitisha mkutano na kulalamika namna kamati za bunge zinavyoendesha shuguri zake alisema kazi ya...
Maoni ya Katuni
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali (CAG) Ludovick Utouh, ametoa ripoti yake ya mwaka wa fedha 2010/2011 ambayo ilikabidhiwa kwanza kwa Rais Jakaya Kikwete halafu...
Hivi mbunge wa viti maalum akifariki nafasi yake hujazwa?na kama hujazwa je mbunge atakayeteuliwa ni lazima atoke ukanda wake ule au anatoka kokote?na kama hujazwa je nafasi ya regia mtema...
DAKIKA MOJA YA UKIMYA KUTOA HESHIMA:A S-key:
Chukua dakika moja, kaa kimya, weka pembeni kazi uliyotumwa /kujituma hapa JF, sahau msukumo wa itikadi yako ya sasa ya Chadema , CCM , CUF, NCCR au...
Majibu ya waziri Mkuu kwa Mh. Mbowe juzi bungeni kuhusiana na Mawaziri wake kuwatishia wananchi watakaowachagua wapinzani serikali haitatenga fedha yanaonesha jinsi kiongozi huyu mkuu...
Wananchi wa Jimbo la Arumeru waishio pembezoni mwa eneo la Dolly (eneo ambalo wazungu wamemilikishwa)kuanzia jana jioni wameandamana kuelekea eneo hilo na kuanza kungoa fensi inayozunguka eneo...
Licha ya waziri mkuu, Mh. Mizengo Pinda kudai Serikali inatoa fedha za maendeleo bila ya ubaguzi wa itikadi, hali ni tofauti kwa Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kutokana na...
Monday, 16 April 2012 14:50
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha
Daniel Mjema, Dodoma


KAMATI ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, inayoongozwa na Edward...
kesho ni kesho bunge la tz linapiga kura za kuchagua wawakilishi wa bunge la east africa kwa hali inavyoendelea wawakilishi kupitia vyama vya upinzani chama cha CUF kupitia mgombea wake wakili...
nimekuwa nikimsikia lowasa akiisema sentes hii ingawa naafikiana nae. ila yy na dhamira yake ni kudhan anaweza kuwateka vijana . ameanza na kutumia lugha za mtaan eti mfano ni kampeni za arumeru...
Hayawi hayawi hatimae Dr slaa, G.Lema na Makamanda wengine kufanya mkutano leo hapa KAHAMA. Nipo hapa kahama na nitaendelea kuwajuza kila kinachoendelea. Kwa sasa makamanda wapo vijijini wakitoa...
Musa mkanga ambaye ni mmoja kati ya wale waliofungua kesi kupinga lema kushinda uchaguzi jimbo la Arusha mjini. Jamaa anafafanua jinsi alivyoshinda kesi na furaha aliyonayo kushinda kesi yake.
Nikiwa hapa Technical College Arusha,mara msafara wa magari aina ya Landcruiser Vx tu na ndipo nikamwona ni mtoto wa mkulima ndio amesababisha msafara wote!
Anayejua kwa undani anakoelekea huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.